Hata Manuel alikuwa vice president, akisogea hapo angefanywa hivyo..semi-sextile huyo former Rc na waziri...alinusurika kuwa pm wa wakati huoAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Inshu kubwa hapo ni kulinda Faragha, Mzee alikua anawahi kusikia wanaongea nini?Mlinzi yuko sahihiAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Wee ni Liongo sana, Kichaa wewe.siasa ni sayansi madame π
unaendelea kumsimanga shostito wako kupitia mimi, right? hiyo pia ni sayansi, ntamtuita soon πWee ni Liongo sana, Kichaa wewe.
Wewe ni Liongoooo.unaendelea kumsimanga shostito wako kupitia mimi, right? hiyo pia ni sayansi, ntamtuita soon π
Bora umuambie huyo chawa Tahiraa.Kazi yako ngumu sana, wenzio wapo kwenye v8 wewe upo kujitoa akili JF
kwahiyo hii v9 sio ndinga ya maana sio ispokua v8?Kazi yako ngumu sana, wenzio wapo kwenye v8 wewe upo kujitoa akili JF
subiri anaimalizia kula anakuja usidhani limeisha πWewe chawa ni Tahiraaa!!
Hana akiliBora umuambie huyo chawa Tahiraa.
Ukute una mbaiskeli mkangafu wa chama πΉπΉkwahiyo hii v9 sio ndinga ya maana sio ispokua v8?
Tahira huyu.Hana akili
Ulinzi wa Maghuri ulizidi hapo.hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.
suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote π