Look busy, Magufuli is coming? Surely Tanzanian professionals are beyond this

Sasa unajuaje kwamba hawana mengi zaidi ya kusema ila wanajizuia kwa sababu za kidiplomasia?

Kwa nini wanasema uchumi utashuka?
Mbona Kenya wamewaambia ukweli?, hapa Tanzania walitukatia misaada baada ya kuona uchumi haufanyi vizuri, nchi nyingi tu zimeelezwa ukweli na kuombwa zirekebishe sera zake za uchumi?, kwanini Tanzania waseme uchumi upo vizuri na kukubali kumwaga mapesa?, kwahiyo huo UNAFIKIA wanaufanya Tanzania pekee isiwe Kenya na nchi zingine?.

Nimetoa maelezo ya kina sana kuhusu neno "excution of fiscal plans", haina maana uchumi utafanya vibaya, ila kutokana na kuchelewa kwautekelezaji wa fiscal plans za mwaka huu kutokana na marekebisha makubwa yanayofanywa nchini ya kiuongozi, baadhi ya fiscal plans inaweza isikamilike ndani ya mwaka huu, huwezi kufanya mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiuongozi kiasi hiki na ukategemea kasi ya uchumi ibaki vile vile, na WB wametumia neno soften kumaanisha pressure au acceleration ya mwendo kupungua, huwezi kubadilisha gear wakati mguu bado umekanyagia pedal ya accelerator.
 
Inawezekana Kenya wanafuata sera zilizo vitabuni. Hivyo hata kuwasahihisha kiuchumi inawezekana.

Inawezekana huku kwetu hata sera zilizo vitabuni hazitekelezwi, zinatekelezwa "amri kutoka juu".

Ndiyo maana hata kuanza kuongelea sera za uchumi wameshindwa, wamebaki kuongelea "under execution of fiscal plans".

Kuna Professor mmoja mkali sana wa Physics alikuwa anaitwa Wolfgang Pauli.

Professor Pauli alikuwa anapowasahihisha wanafunzi wake, akimkuta mwanafunzi kaboronga sana equations, alikuwa hamwambii "you are wrong". Alikuwa anamwambia "you are not even wrong".

Yani kwa Professor Pauli, kuwa wrong maana yake umepata mwanga fulani kuelekea njia sahihi, lakini umeshindwa kufikia jibu sahihi kwa sababu moja au nyingine. Una muelekeo sahihi lakini hujakamilisha safari.

Kuna watu hata muelekeo sahihi hawana. Wanawayawaya all over the map. Not even wrong.

Sasa Magufuli kuanza kumsahihisha kiuchumi wakati hafuati hata sera zake za uchumi ni kichekesho.

He is not even wrong. Hajui anataka kwenda wapi.

Sasa watu wa WB inabidi wazime sigara tu na kuongea habari za "under execution of fiscal plans".

Not even wrong - Wikipedia
 
Magufuli is a buffoon, one does not need clever understated articles by the outstanding Elsie Eyakuze to see that.

If anything, we should all drop the tongue in cheek civility and call out this grotesque fascist for what he is, a personified hideous retardation of any meaningful progress made in Tanzania.

The notion that any sane semi-literate Tanzanian would need any convincing to see the folly of the Magufuli administration, or even worse, of the misguided euphoria around it,beats me.

Magufuli is a schmuck who is out of his depth, with neither a political education as compass nor the requisite talent as GPS. The man cannot articulate himself in Swahili. He is Faking all kinds of impromptu manovres to impress his gullible crew and some onlookers.

Those of us who saw where Tanzania was headed years ago predicted this outcome, way back in 2Pacalypse.

And it will only get worse if the hard headed Caligula will never learn.

If Nationalism is an infantile disease, the measles of mankind, let me be the first to vaccinate myself against it by denouncing Magufuli as a shameless usurper, a pretender to the throne.
It's more than criticism ... insults won't move our beloved nation to the desired level of development.
Let's criticise constructively by suggesting our wishes to the authorities tirelessly . Every man brags of his cock however tiny[emoji39]
 
You may see my criticism as insults because you are easily insulted due to cultural reasons.

Chuma kufuliwa kinahitaji moto.

Huu ni uwazi wa moto tu. Si matusi.

Moja ya sababu hatuendelei ni kupenda unafiki, unyoronyoro na uoga.
 
Ok, thank you. Try to use non- archaic words perhaps your message will be delivereed to the "bulldozer" and worked upon accordingly.
 
Inawezekana Kenya wanafuata sera zilizo vitabuni. Hivyo hata kuwasahihisha kiuchumi inawezekana.

Inawezekana huku kwetu hata sera zilizo vitabuni hazitekelezwi, zinatekelezwa "amri kutoka juu".

Ndiyo maana hata kuanza kuongelea sera za uchumi wameshindwa, wamebaki kuongelea "under execution of fiscal plans".

Kuna Professor mmoja mkali sana wa Physics alikuwa anaitwa Wolfgang Pauli.

Professor Pauli alikuwa anapowasahihisha wanafunzi wake, akimkuta mwanafunzi kaboronga sana equations, alikuwa hamwambii "you are wrong". Alikuwa anamwambia "you are not even wrong".

Yani kwa Professor Pauli, kuwa wrong maana yake umepata mwanga fulani kuelekea njia sahihi, lakini umeshindwa kufikia jibu sahihi kwa sababu moja au nyingine. Una muelekeo sahihi lakini hujakamilisha safari.

Kuna watu hata muelekeo sahihi hawana. Wanawayawaya all over the map. Not even wrong.

Sasa Magufuli kuanza kumsahihisha kiuchumi wakati hafuati hata sera zake za uchumi ni kichekesho.

He is not even wrong. Hajui anataka kwenda wapi.

Sasa watu wa WB inabidi wazime sigara tu na kuongea habari za "under execution of fiscal plans".

Not even wrong - Wikipedia
Ndiyo sababu nikakuambia kwamba lazima tuwe na facts kwanza zinazoonyesha kama uchumi unafanya vizuri au vibaya, ndiyo tuanze hizo ..Inawezekana zako...inawezekana hili limetokea kwasababu hii..inawezekana hili linashindikana kwa sababu hii.

Kwasasa WB/IMF wanasema mambo ni mazuria na wanaeendelelea kutoa pesa,..na inawezekana uchumi unafanya vizuri kwasababu ya style ya uongozi wa Magufuli..WB/IMF wamekubali kuendelea kutoa pesa inawezekana ni kwa sababu Magufuli ni nonsense person...Tanzania inaongoza kwa kupokea FDI kubwa hapa EA inawezekena kwa sababu ya style ya Magufuli..Manufacturing sector ya Tanzania inakua kwa kasi ya 7.7% wakati Kenya ni 3.4% inawezekana kwa sababu ya leadership style..Utalii unazidi kuipatia Tanzania mapato mara 4 ya Kenya inawezekana ni kwa sababu ya leadership style.

Huyo professor wako wa Physics sidhani kama huyo mwanafunzi ambaye is not even wrong na bado kwenye marks atamuwekea 80%, iweje WB waone Tanzania is not even wrong lakini waendelee kumimina pesa?.. Ama kweli akili za kuambiwa ungezea na zako.
 
Ok, thank you. Try to use non- archaic words perhaps your message will be delivereed to the "bulldozer" and worked upon accordingly.

What is "archaic" to you is commonplace to those who read The Wall Street Journal, The New York Times, The Economist or even Time Magazine, The New Yorker and Newsweek.

Try to read these publications please.

I dont need JF to reach Magufuli.

I have an uncle in the cabinet and I started making rounds around Ikulu corridors since I was in my mothers womb.
 
Ndiyo sababu nikakuambia kwamba lazima tuwe na facts kwanza zinazoonyesha kama uchumi unafanya vizuri au vibaya, ndiyo tuanze hizo ..Inawezekana zako...inawezekana hili limetokea kwasababu hii..inawezekana hili linashindikana kwa sababu hii.

Kwasasa WB/IMF wanasema mambo ni mazuria na wanaeendelelea kutoa pesa,..na inawezekana uchumi unafanya vizuri kwasababu ya style ya uongozi wa Magufuli..WB/IMF wamekubali kuendelea kutoa pesa inawezekana ni kwa sababu Magufuli ni nonsense person...Tanzania inaongoza kwa kupokea FDI kubwa hapa EA inawezekena kwa sababu ya style ya Magufuli..Manufacturing sector ya Tanzania inakua kwa kasi ya 7.7% wakati Kenya ni 3.4% inawezekana kwa sababu ya leadership style..Utalii unazidi kuipatia Tanzania mapato mara 4 ya Kenya inawezekana ni kwa sababu ya leadership style.

Huyo professor wako wa Physics sidhani kama huyo mwanafunzi ambaye is not even wrong na bado kwenye marks atamuwekea 80%, iweje WB waone Tanzania is not even wrong lakini waendelee kumimina pesa?.. Ama kweli akili za kuambiwa ungezea na zako.

Mazee.

WB/IMF wamekubali kutoa pesa kwa sababu Magufuli ni nonsense person?

Do you even know where you stand?

Nikiona mtu anaandika hivi naanza kujiuliza kama hata yeye anaelewa anachoandika.
 
Tatizo lako wewe sidhani kama ulishawahi kuandika research paper yoyote hapa duniani, wewe unaishi zaidi kwa kutumia discussion za mtaani kuliko kufikia rational conclusion, nimesisitiza tangu mwanzo kwamba lazima kwanza kuwa na facts ya hali halisi, based on that ndiyo unaanza kufanya triangulation kwa kutumia rational assumptions ili kufikia logical conclusion(s). Mimi bado nipo kwenye assumptions, wewe anatoa comments ya Conclusion, inaonekana huu mjadala kidogo ni maji marefu kwako.
 
Wewe uliyeandika WB imetoa pesa kwa sababu Magufuli ni nonsense person ndiye wa kuniambia mimi chochote kuhusu research?

Wakati wewe huwezi kuandika a straight sentence tu?

Na hata ukioneshwa hilo huoni?
 
Mimi nipo kwenye ..inawezekana .....inawezekana....kama ulivyoanza wewe kusema bila hata ya kufikia kwenye facts, pamoja na kwamba nimeendelea kusisitiza tufikie facts kabla ya kuanza discussion, sasa ninaposema inawezekana, hiyo ni assumption au conclusion?
 
Je wewe uliyeandika kwamba WB imetoa pesa kwa sababu Tanzania imekosea kila kitu, tukufananishe na nini?
 
Mimi kubishana hoja na mtu asiyeweza kuandika a straight sentence napata tabu sana.

Naona naweza kumuelewa anasema ndiyo wakati anasema ndiyo.

Mtu ambaye hajui tofauti ya no nonsense na nonsense naona kama hajafikia uwezo wa kubishana na mimi kimantiki.

Nitajuaje kama anamaanisha nonsense au no nonsense anapoandika nonsense?

Naishia kuona anachoandika nonsense.

Hivi unajua kwamba umemtukana Magufuli kwamba ni zumbukuku?

Na umeaema WB wamempa hela kwa sababu wamemkubali kwamba yeye ni zumbukuku?
 
Je wewe uliyeandika kwamba WB imetoa pesa kwa sababu Tanzania imekosea kila kitu, tukufananishe na nini?
Wapi ninesema Tanzania imekosea kila kitu?

Na unajua kwamba WB inaweza kutoa pesa exactly kwa sababu Tanzania imekosea kila kitu katika jambo?
 
Ndiyo sababu nikakuambia kwamba lazima tuwe na facts kwanza zinazoonyesha kama uchumi unafanya vizuri au vibaya, ndiyo tuanze hizo ..Inawezekana zako...inawezekana hili limetokea kwasababu hii..inawezekana hili linashindikana kwa sababu hii.

Kwasasa WB/IMF wanasema mambo ni mazuria na wanaeendelelea kutoa pesa,..na inawezekana uchumi unafanya vizuri kwasababu ya style ya uongozi wa Magufuli..WB/IMF wamekubali kuendelea kutoa pesa inawezekana ni kwa sababu Magufuli ni nonsense person...Tanzania inaongoza kwa kupokea FDI kubwa hapa EA inawezekena kwa sababu ya style ya Magufuli..Manufacturing sector ya Tanzania inakua kwa kasi ya 7.7% wakati Kenya ni 3.4% inawezekana kwa sababu ya leadership style..Utalii unazidi kuipatia Tanzania mapato mara 4 ya Kenya inawezekana ni kwa sababu ya leadership style.

Huyo professor wako wa Physics sidhani kama huyo mwanafunzi ambaye is not even wrong na bado kwenye marks atamuwekea 80%, iweje WB waone Tanzania is not even wrong lakini waendelee kumimina pesa?.. Ama kweli akili za kuambiwa ungezea na zako.

brother i went through out your posts, you categorically and clearly nailed it.
bravo.
 
Mimi kubishana hoja na mtu asiyeweza kuandika a straight sentence napata tabu sana.

Naona naweza kumuelewa anasema ndiyo wakati anasema ndiyo.

Mtu ambaye hajui tofauti ya no nonsense na nonsense naona kama hajafikia uwezo wa kubishana na mimi kimantiki.

Nitajuaje kama anamaanisha nonsense au no nonsense anapoandika nonsense?

Naishia kuona anachoandika nonsense.

Hivi unajua kwamba umemtukana Magufuli kwamba ni zumbukuku?
Umeshindwa kwenye mjadala sasa unaingia kwenye lugha na kuangalia makosa madogo madogo, nimekua nikifanya hayo makosa tangu jana na mimi huwa nikashatuma huwa ninayaona, ila mjadala umeendelea vizuri tu, ila hivi sasa kwasababu umekuelemea unatafuta sababu ya kukimbia, wote wanaofuatilia huu mjadala sio wajinga, wanaona ni kwa kiasi gani umeanza kuishiwa na points.
 
BOT imepunguza interest rate toka 16% mpaka 9%, kwanza kutoka 16% mpaka 12% halafu wakaona haitoshi, uchumi unazidi kuanguka, mzunguko wa fedha unazidi kushuka, wakapunguza tena kutoka 12% mpaka 9%.

Na bado watu wanalia vyuma vinabana, unajua maana yake nini? Msemo huu ushafika Kenya?
.
Sasa ulitegemea uchumi ubadilike haraka haraka baada ya kushusha interest rates?

Nilisema hapo mawanzo unachanganya madawa kwenye hoja zako. Kwa nchi zilizoendelea ambapo uchumi unaendeshwa kwa credit hayo mambo uyasemayo yanaweza kuwa na mashiko kwa kuwa kila kitu kimeunaganishwa na mfumo huo.

Leo hii benki ikimchoma mteja wake kwenye chex systems, akienda kwenye financial institution nyingine yoyote wakiweka tuu sosho yake mambo yamekwisha, anaambiwa tuu 'sorry'. Sasa Tanzania si hivyo, mambo yakifanyika kule BOT yanachukua muda kuwafikia wananchi kwasababu mfumo wetu bado una mapengo mapengo.

kitendo tuu cha wewe kutokulifikiria hili katika hoja zako, kinashangaza.

My concern is not so much with the lowering of the interest rate, but with the scale, frequency, extent of direction, and the entire context of politics that surrounds this.

It is almost like central banks are used as the magic pill. Politicians can mess up the economy all they want, if there is a crisis, there is always the central bank,it can always turn the dials to get the economy back on track. This is worrying, especially when you see a move from 16% to 12% in 5 months is not effective, then another move from 12% to 9% is barely registering any difference.
.
The problem is not with the interest rates per se or even the move from 16% to 9% as you mentioned, considering it was over 20% in the previous administration. What's important is to understand why Magufuli's administration is doing it.

Banks in Tanzania have been doing business with the GOT instead of the locals. For years individuals couldn't get approved for the loans because these banks figured they could get interest-free money from BOT, hold it for a while and then loan it back to the government with interest, what a ripoff?

Instead of coming up with good strategies to work with wananchi, these banks became grandiose in their practices. All the GOT wants is real banks to do business with wananchi or else they can close their doors.

Also, the GOT decided to hold it's money because most of it that was circulating in the country was dirty, there was a lot of drug activities going on, the president is now draining the swamp. In effect, the inflation is now around 4.4% (if I'm not mistaken) which will also increase the flow of money from foreign investors. What is wrong with that?
As pointed out above in another post of mine, we could be trying to turn the wrong dials. We could be trying to jolt money supply by fiddling with interest rates, while the real problem is business confidence and the political administration.
.
All central banks in this world fiddle with interest rates to control the value of their currency, why is it OK for others to do it and not Magufuli?
 
Umeshindwa kwenye mjadala sasa unaingia kwenye lugha na kuangalia makosa madogo madogo, nimekua nikifanya hayo makosa tangu jana na mimi huwa nikashatuma huwa ninayaona, ila mjadala umeendelea vizuri tu, ila hivi sasa kwasababu umekuelemea unatafuta sababu ya kukimbia, wote wanaofuatilia huu mjadala sio wajinga, wanaona ni kwa kiasi gani umeanza kuishiwa na points.
Kama hujui tofauti ya no nonsense na nonsense, nitawezaje kujadiliana nawe?

Ukiandika nonsense sijui unamaanisha nonsense au no nonsense.

Ukiandika left sijui unamaanisha left or right.

Nitajadiliana nawe vipi?

Halafu ndiyo kwa uozo huu unajitapa kuhusu research? Wakati hujui Trafalgar wapi na Antipodes wapi.

Jifunze lugha unayotumia kwanza kabla ya kutaka mjadala.

Ukiandika kwa ku butcher lugha ya watu na kuendekeza ukichwamaji hata baada ya kuoneshwa makosa nakuona huna akili tu.
 
Kama hujui tofauti ya no nonsense na nonsense, nitawezaje kujadiliana nawe?

Ukiandika nonsense sijui unamaanisha nonsense au no nonsense.

Ukiandika left sijui unamaanisha left or right.

Nitajadiliana nawe vipi?

Halafu ndiyo kwa uozo huu unajitapa kuhusu research? Wakati hujui Trafalgar wapi na Antipodes wapi.

Jifunze lugha unayotumia kwanza kabla ya kutaka mjadala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chali, chali kabisa.

Next time mijadala kama hii ya wazi ukitaka kuianzisha lazima uwe umejiandaa, kinyume cha hapo utadhalilika bure, wenye akili wameshajua mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom