Majina yangu ni Denis samwel mwalumuli miaka 28 mwenyeji wa Mbeya, Kyela ila makazi yangu ni Dar es salaam.
Elimu yangu ni level ya kawaida tu nimesomea mauzo na masoko ngazi ya cheti. Ila nina uzoefu wa kufanya kazi za mauzo kwa muda wa miaka 3. Kama sales man, sales rep na Pia ni dereva najua kuendesha gari aina zote manual/automaticaly.
Kwa upande wa familia ninayo nina mke na mtoto mmoja wa kike.
Kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi.
Naomba yyt ambae anazani anaweza kunishika mkono kupitia taaluma zangu awe ni mtu, taasisi, kampuni au serikalini nitashukuru sana. Nimekuja kujitangaza humu kwa sabb najua ni jukwaa la wote Watanzania naamini naweza kushikwa mkono kwa yyt mwenye uwezo na moyo wa kunishika mkono.
Naahidi kuwa muaminifu na muadilifu na mwenye nidhamu wakati wote japo kama binadamu naweza kuwa na mapungufu ila sito muangusha.
Mwenye kuguswa na hili mawasiliano yangu ni 0734911193 au 0747449600.
Email.denisimwalumuli@gmail.com
Ahsanteni mbarikiwe