Umeandika upuuzi sanaUmeenda kusoma mauzo ikiwa hauna kitu cha kuuza? Umeenda kusomea masoko ilihali hauna bidhaa ya kupeleka sokoni tena ulilipa pesa kwa miaka mitatu wao wakakupa karatasi lenye jina la chuo na hiyo karatasi haitambuliki benki kwamba utakopea pesa, , ingekua bora wangekufundisha skill ya kuzalisha bidhaa utayopeleka sokoni ili utumie ujuzi na utaalaamu kuiuza na kuifikisha sokoni
Umeandika upuuzi sana
Bora wewe ambaye hukwenda kusoma.Umeenda kusoma mauzo ikiwa hauna kitu cha kuuza? Umeenda kusomea masoko ilihali hauna bidhaa ya kupeleka sokoni tena ulilipa pesa kwa miaka mitatu wao wakakupa karatasi lenye jina la chuo na hiyo karatasi haitambuliki benki kwamba utakopea pesa, , ingekua bora wangekufundisha skill ya kuzalisha bidhaa utayopeleka sokoni ili utumie ujuzi na utaalaamu kuiuza na kuifikisha sokoni
Umeandika pumba sana. Kacheze na watoto wenzako. Jinga sana wewe!Umeenda kusoma mauzo ikiwa hauna kitu cha kuuza? Umeenda kusomea masoko ilihali hauna bidhaa ya kupeleka sokoni tena ulilipa pesa kwa miaka mitatu wao wakakupa karatasi lenye jina la chuo na hiyo karatasi haitambuliki benki kwamba utakopea pesa, , ingekua bora wangekufundisha skill ya kuzalisha bidhaa utayopeleka sokoni ili utumie ujuzi na utaalaamu kuiuza na kuifikisha sokoni
Tuma CV yako ikiwemo kazi za masoko ulizowahi kufanya na KPI zako career@hosannahighertech.co.tzMajina yangu ni Denis samwel mwalumuli miaka 28 mwenyeji wa Mbeya, Kyela ila makazi yangu ni Dar es salaam.
Elimu yangu ni level ya kawaida tu nimesomea mauzo na masoko ngazi ya cheti. Ila nina uzoefu wa kufanya kazi za mauzo kwa muda wa miaka 3. Kama sales man, sales rep na Pia ni dereva najua kuendesha gari aina zote manual/automaticaly.
Kwa upande wa familia ninayo nina mke na mtoto mmoja wa kike.
Kwa sasa nipo tu mtaani sina kazi.
Naomba yyt ambae anazani anaweza kunishika mkono kupitia taaluma zangu awe ni mtu, taasisi, kampuni au serikalini nitashukuru sana. Nimekuja kujitangaza humu kwa sabb najua ni jukwaa la wote Watanzania naamini naweza kushikwa mkono kwa yyt mwenye uwezo na moyo wa kunishika mkono.
Naahidi kuwa muaminifu na muadilifu na mwenye nidhamu wakati wote japo kama binadamu naweza kuwa na mapungufu ila sito muangusha.
Mwenye kuguswa na hili mawasiliano yangu ni 0734911193 au 0747449600. Email.denisimwalumuli@gmail.com
Ahsanteni mbarikiwe
Mkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...Majina yangu ni Denis samwel mwalumuli miaka 28 mwenyeji wa Mbeya, Kyela ila makazi yangu ni Dar es salaam.
Elimu yangu ni level ya kawaida tu nimesomea mauzo na masoko ngazi ya cheti. Ila nina uzoefu wa kufanya kazi
Vipi kuhusu changamoto hujamuainishiaMkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...
...mfano mchicha, nyanya, spinachi, n.k
...matunda kama matikiti, n.k
Mkuu utatoka fasta Sana. Mfano mchicha ni siku 21 tu unaanza kupiga hela. Tikiti ni siku 55 tu unaanza kupiga mamilioni, n.k.
Achana na mambo ya kutafuta ajira za kupewa laki 2 au 3 kwa mwezi, utapoteza muda tu.
Kila la kheri!
Mkuu naomba hebu ile business plan ya kilimo cha matikiti nimeimiss sana.Mkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...
...mfano mchicha, nyanya, spinachi, n.k
...matunda kama matikiti, n.k
Mkuu utatoka fasta Sana. Mfano mchicha ni siku 21 tu unaanza kupiga hela. Tikiti ni siku 55 tu unaanza kupiga mamilioni, n.k.
Achana na mambo ya kutafuta ajira za kupewa laki 2 au 3 kwa mwezi, utapoteza muda tu.
Kila la kheri!
Ha ha ha mkuu sikujua kama unatumia MARIJUANA.Mkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...
...mfano mchicha, nyanya, spinachi, n.k
...matunda kama matikiti, n.k
Mkuu utatoka fasta Sana. Mfano mchicha ni siku 21 tu unaanza kupiga hela. Tikiti ni siku 55 tu unaanza kupiga mamilioni, n.k.
Achana na mambo ya kutafuta ajira za kupewa laki 2 au 3 kwa mwezi, utapoteza muda tu.
Kila la kheri!
Umempa ushauri mzuri lakini vipi kuhusu mtaji wa kuanza kushika mashamba au unamshauri atafute kama laki 6 fulani aende shamba.Mkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...
...mfano mchicha, nyanya, spinachi, n.k
...matunda kama matikiti, n.k
Mkuu utatoka fasta Sana. Mfano mchicha ni siku 21 tu unaanza kupiga hela. Tikiti ni siku 55 tu unaanza kupiga mamilioni, n.k.
Achana na mambo ya kutafuta ajira za kupewa laki 2 au 3 kwa mwezi, utapoteza muda tu.
Kila la kheri!
ww upo hko mitoni na maziwani/ ili awe jirani yako mlime wote mbogamboga..Mkuu nenda vijijini tafuta mashamba yaliyo karibu na mito ama ziwa. Anza kilimo cha mbogamboga na matunda...
...mfano mchicha, nyanya, spinachi, n.k
...matunda kama matikiti, n.k
Mkuu utatoka fasta Sana. Mfano mchicha ni siku 21 tu unaanza kupiga hela. Tikiti ni siku 55 tu unaanza kupiga mamilioni, n.k.
Achana na mambo ya kutafuta ajira za kupewa laki 2 au 3 kwa mwezi, utapoteza muda tu.
Kila la kheri!
Mm niko bonde la mto Ngeregere kwa Sasa. Kabla ya kuja huku nilikuwa bonde la mto Rufiji. Wakuu kilimo cha mbogamboga na matunda kinalipa. Seriously.ww upo hko mitoni na maziwani/ ili awe jirani yako mlime wote mbogamboga..
HONGERA AMBATANA NA NDUGU YTU UMSAIDIE NAMBA ZAKE KAANDIKA HPO..Mm niko bonde la mto Ngeregere kwa Sasa. Kabla ya kuja huku nilikuwa bonde la mto Rufiji. Wakuu kilimo cha mbogamboga na matunda kinalipa. Seriously.
Unapata wapi mtaji wa kuanzia? Unaenda kuishi kwa nani wakati ukiwa huko Bondeni kwenye kilimo?Mm niko bonde la mto Ngeregere kwa Sasa. Kabla ya kuja huku nilikuwa bonde la mto Rufiji. Wakuu kilimo cha mbogamboga na matunda kinalipa. Seriously.
Mm niko bonde la mto Ngeregere kwa Sasa. Kabla ya kuja huku nilikuwa bonde la mto Rufiji. Wakuu kilimo cha mbogamboga na matunda kinalipa. Seriously.
Tatizo la ninyi mnaojiita wasomi mnataka kila kitu kiende mtelemko. Uza hiyo simu unayotumia ku-like na ku-comment humu upate mtaji.Unapata wapi mtaji wa kuanzia? Unaenda kuishi kwa nani wakati ukiwa huko Bondeni kwenye kilimo?
Unalala Shamba ukimezwa na ChatuTatizo la ninyi mnaojiita wasomi mnataka kila kitu kiende mtelemko. Uza hiyo simu unayotumia ku-like na ku-comment humu upate mtaji.
Kuhusu pa kukaa, vijijini kuna ukarimu wa hali juu Sana. Lkn atafutae huwa hana mwiko, hata shamba analala.
Mkuu kama una dhamira toka hapo ulipo nenda sehemu nyingine. Nchi yetu hii, kila mtu anao uhuru wa kuishi ama kwenda mahala popote.Mkuu unaweza kusema kinalipa ila hautifautishi mazingira au mahari alipo mtu, wewe huko mkoani kwako kinalipa ila huku kwingine yawezekana ni kazi bure. Mfano huku kwetu hata uwe msimu wa uhaba wa nyanya lazima nyanya 4 kubwa utaziuza 300/= je kunakutoboa hapo ukilinganisha na investment uliyofanya