Looking for God fearing husband who is ready to settle

Kigezo cha umri kitakukosesha mume. Weka 30 years and above. Hiyo 30 - 35 itakuharibia. Mtu wa 28yrs kupata mume wa 38yrs sio mbaya.
 
Miluzi ishaanza kukuchanganya. Wanaume wenye sifa utakazo wanasoma tu unavyovimbiana na wapiga miluzi humu.
 
Wewe sijui jerre huwa unanunuaga wasichana jf???kwanini unaumia lakini???kwanini unateseka??
 
ACHA KUOTA
 
Negativity na fear ndo zimenifikisha nilipo.time to take risk
I see. Kama umeamua kuchukua risk at least fanya calculations zako vizuri. Kuna baadhi ya milango ukishaifungua hutoweza kuifunga tena. Suala sio kusubiri hayo mahusiano ni kuendelea kutunza personality yako wakati ukiendelea kusubiri,ukifeli hapo utakosa yote. Tatizo kubwa lililopo kwenye mahusiano ya sasa ni mfumo mzima umechanganyikiwa,tatizo sio lako au la wanaume. Sijui na-make sense?
 
Mwaka huu kengele ina gonga 29 mwezi wa 7 vipi nije PM , Ila sina masters nina degree ya Uhasibu tuu kutoka chuo kikuu M.O.C.U , job ninayo


vipi nije PM ?

Mbona kama una negociate mkataba [emoji28]…!?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila our princess is employed
 

Mke/ Mume hatafutwi bali mnakutana popote hata humu anaweza kukutana nae ajue pa kupita pita tuu
 


Unapatikana wapi…Mkoa?
Unajishughulisha na nini?
ID yako ya zamani ni ipi?
 
Wabongo mmejaa negativity[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].iam not a teenager,msubirie basi niwaletee mrejesho.alafu bora muda mwingine kukaa kimya sio lazima kucomment negativity na kuproject fear zako kwa wengine.
Mrejesho wa hii Project yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…