MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kigezo cha umri kitakukosesha mume. Weka 30 years and above. Hiyo 30 - 35 itakuharibia. Mtu wa 28yrs kupata mume wa 38yrs sio mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stay tuned vigezo vitapungua hivyo!!Aiseee
Kuna vigezo vimenikosesha mke
Kunguru wa Manzese where is this guy??Shida umeji brand mno na kiingereza chako....ukidhani ndo watakushobokea sanaa na kukupa thamani ..BIG NO maisha hayataki kujikweza sanaa hujui kwamba watu wanasubiri anguko lako na mavyeti vyako.
Miluzi ishaanza kukuchanganya. Wanaume wenye sifa utakazo wanasoma tu unavyovimbiana na wapiga miluzi humu.
ACHA KUOTA28years old female
Degree holder
Polite and very humble lady
Employed
Single With no children
Looking for
God fearing man
Polite and humble guy
Christian akiwa catholic itapendeza
Age from 30-35
Educated(akiwa na masters itapendeza)not important but kuondoa infiriority complex later on since i love education
Stable and Matured man who need to settle down
If you know you havent finish yet to play around please dont pm me,na Mungu awabariki.
Dont ask mtaani hawapo[emoji23]
I havent met him yet,so maybe yupo humu jf plz pm me.
I see. Kama umeamua kuchukua risk at least fanya calculations zako vizuri. Kuna baadhi ya milango ukishaifungua hutoweza kuifunga tena. Suala sio kusubiri hayo mahusiano ni kuendelea kutunza personality yako wakati ukiendelea kusubiri,ukifeli hapo utakosa yote. Tatizo kubwa lililopo kwenye mahusiano ya sasa ni mfumo mzima umechanganyikiwa,tatizo sio lako au la wanaume. Sijui na-make sense?Negativity na fear ndo zimenifikisha nilipo.time to take risk
Mwaka huu kengele ina gonga 29 mwezi wa 7 vipi nije PM , Ila sina masters nina degree ya Uhasibu tuu kutoka chuo kikuu M.O.C.U , job ninayo
vipi nije PM ?
😂😂😂😂😂 ila our princess is employedShida vizungu vingi sana
Anyway, watu wengi wanamuogopa Mungu ila hawashiki amri zake, so is that kind of dude you are after?
Kwa ushauri tu, ndoa hazitafutwi ila zinatokea. Tafuta mtu uanze ku date eventually mnaweza mkaingia kwenye hiyo stage ya kitapeli ya ndoa.
To me, mwanamke anayetaka ndoa namuona kama anataka mteremko, yaani kutunzwa na kulelewa yaani kwa kifupi ni kupe.
Kila la kheri
Wanawake kazini siku hizi njia ni nyingi sna za biashara hasa nyakati hzi japo nafahamu mume anapatikana popote lkn si kwa staili hii, siiamini hta kdgo.
Km tayar uko humu na unauhitaji huo endelea kuimarisha urafiki na unaokutana nao humu nijiuavyo popote pale alipo mwanamke hajawahi kuacha kutongozwa na nafasi hiyo ndio uitumie kuelezea hitajio lako tamaa weka pembeni end of the day utajua mbivu utajua mbichi
Kila la kheri kwa huyo mlimbwende😂😂😂😂😂 ila our princess is employed
28years old female
Degree holder
Polite and very humble lady
Employed
Single With no children
Looking for
God fearing man
Polite and humble guy
Christian akiwa catholic itapendeza
Age from 30-35
Educated(akiwa na masters itapendeza)not important but kuondoa infiriority complex later on since i love education
Stable and Matured man who need to settle down
If you know you havent finish yet to play around please dont pm me,na Mungu awabariki.
Dont ask mtaani hawapo[emoji23]
I havent met him yet,so maybe yupo humu jf plz pm me.
Mrejesho wa hii Project yakoWabongo mmejaa negativity[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].iam not a teenager,msubirie basi niwaletee mrejesho.alafu bora muda mwingine kukaa kimya sio lazima kucomment negativity na kuproject fear zako kwa wengine.
Wacha tuoneStay tuned vigezo vitapungua hivyo!!