Looking for God fearing husband who is ready to settle

Looking for God fearing husband who is ready to settle

Madam, you should state categorically that, you want a financially stable, learned, handsome, funny, tall, six-pack guy who lives in Dar, does not have a girl friend or kids, a church goer, clean etc to avoid riff raffs from filling your inbox.
A decent lady like you is entitled to a decent guy.
All the best.
 
Kakosea tena? Kingereza ni kosa? Nilidhan lugha tu, na labda katumia kingereza sababu kingereza kipo straight na clear, angetumia kiswahili maelekezo yangekuwa mengi, mfano aliposema inferiority complex kwa kiswahili angeandika nini mzee? Mbona kama yangekuwa maneno mengi?
Ni kweli mkuu ila ametumia kiingereza kama silaha ya kujinadi
 
Relax jamani humu ndani waacheni watu watafute riziki zao, hayo mambo yakubeziana hayatasaidia, yaani apa ingebidi mmpe support zenu ajisikie na aman sasa hv vitisho na kejeli sio poa
 
Jamaniiii so ukifika supermarket [emoji23][emoji23][emoji23]unatangaza wale single wapite mbele

Unafosi kupita mbele.

Wanaume wapo wanaotaka kukuoa wapo wengi katika wanaokuzunguka maeneo unaposali, Unapofanya kazi, kwenu ulipokulia, chuo ama shule ulizosoma, huko yupo mumeo mtarajiwa.

Mwanaume Stranger ambaye yupo tayari kukuoa lazima utamuona hana vigezo. Wale wenye vigezo wameshawaiwa na wanawake wenzako waliopo kwenye mazingira yao.

Maana wanawake karibu wote duniani mnafanana vigezo vya mume mnayemtaka aweje. Mwanaume mwenye maisha ya kueleweka ngumu sana kumuoa stranger
 
Back
Top Bottom