AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?.
NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza kuuchukua na kuuchezea vile anavyotaka na ikiwezekana kujipigia magoli safi kabisa, sasa huo mpira ambao haujashikwa na mchezaji wa timu yeyote unaozagaazagaa tu uwanjani ndio inaitwa Loose Ball.
Mimi nina visa vingi ila nawasikiliza wadau kwanza kisha nitaangusha visa vyangu.
Tiririka hapa chini.
Angusha.
Dondosha kisa chako tukusome.