Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
ngoma ilikuwa drow juzi sikuona sababu ya kuwa na mshindi sababu kama ni kuanguka jamaa nae achezewa faulo nyingi mbili za hatari kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ipo pindu pindu sana hii?tuanzie hapa,majaji wanatoka upande gani?wana imani sawa na wamiriki wa DP World?Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet.
Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki tukabaki mdomo wazi.
Fight ya kwanza aliyohujumiwa bila aibu ni ile fight dhidi ya Muhsin Alkasus kwenye hii fight Muhsin alipigwa vibaya mno Yani kama punch bag jamaa alipochoka kumpiga akaanza kumchezea show gemu na wengi tuliiona kabisa jamaa amescore vya kutosha round zote cha ajabu Muhsin ndiye akatangazwa eti ndo kashinda.
Fight ya pili aliyohujumiwa ilikuwa dhidi ya Juma Choki ,hii fight mpaka sasa hakuna shabiki yoyote aliyekubaliana na uamuzi wa majaji.
Fight ya tatu ni hii ya jana dhidi ya Nasibu Ramadhan (Pacquiao) wengi ndo hapa tukabaki mdomo wazi.
Hii ni aibu sana, majaji watende haki kijana wana muhujumu sana
View attachment 2689779
Binafsi sikuona hizo unazosema, niliangalia pambano loteNassib alicheza faulo ngapi? kuna mbili za wazi wazi alimpiga mbupu mara mbili ile ya pili mpaka jamaa akapewa muda wa kupumzika unaisemeaje hio
hukuwa makini mkuu ukirudia angalia kwa makini endapo utapata wasaa wa kuliangalia tena.Binafsi sikuona hizo unazosema, niliangalia pambano lote