Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Screenshot_20231101_122109.jpg


Kuna shida.
 
Kuna lotion niliyokuwa naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yaani nimekuwa mweusi mpaka nimepitiliza.

Najiuliza hii ya mara ya pili ilkuwa imeexpaya ama vipi,.?

Naombeni ushauri.
halafu wewe Babie mbona usipo jipaka chochote ndio unakua mzuri zaid love, sura inag'aa vizuri inaonekana vizuri una Nuru njema.....

Achana na hiyo milotion yaani ukijipakaga unakuaga umenyauka na kufubaa ka povu la lundo la Pichu chafu... ...
 
Tatizo linaanzia hapa


Likaja hapa.



Kuna shida.
Aisee kumbe ni mwanaume?
 
Back
Top Bottom