Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

1698873476891.png
 
Hivi ni kwa nini kuna baadhi ya watu wako so obsessed na kuwa weupe? Sasa ukisha kuwa mweupe ndio inakuwa nini? Yaani nashindwa kufahamu kabisa mtu anayatia hatarini maisha yake kwa kumeza madonge yasiojulikana na kujipaka chemicals kali ili tu awe mweupe! Ajabu nyengine ni kwamba mbali ya kuwa kila anaejichubua hawi mweupe bali huwa close na zeruzeru au kuku aso na manyoya lakini bado kila kukucha kunatokea wajinga zaidi wanaonunua madawa ya kujichubua! Why?
 
Back
Top Bottom