Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Kuna lotion niliyokuwa naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yaani nimekuwa mweusi mpaka nimepitiliza.

Najiuliza hii ya mara ya pili ilkuwa imeexpaya ama vipi,.?

Naombeni ushauri.
Siyo Waarabu wote ni weupe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ulikua unatafutia mchumba au??

kwann huwa hamjikubali
 
Ngozi inajengwa na Melanin plus collagen ambayo ni protein inayoipa ngozi rutuba

Kopo la kwanza linatumika kuharibu melanin na uzalishaji wa collagen na hapo Ndipo kopo la pili humaliza kabisa mchezo.

Ukitaka kutumia mkorogo Kunywa supplements Za collagen na vitamin C

Paka na mafuta ya maji, mkorogo utakuendea vyema.
 
Turning and turning in the widening gyre The falcon cannot hear the falconer; Things fall apart; the centre cannot hold; Mere anarchy is loosed upon the world.
human (falcon) doesn't obey their creator (falconer)
The Second Coming
BY WILLIAM BUTLER YEATS
 
Jikubali na kubali asili yako mamy hayo mengine ni ubatili mtupu!
 
Back
Top Bottom