Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Pole sana aisee... kwanini usitafute tu lotion itakayokufanya umaintain hiyohiyo rangi yako nyeusi.. zipo nyingi tu ukipaka unakua na weusi flani hivi soo sweet [emoji8][emoji8]
Mtt mzr taja basi baadhi
Za kumaintain weusi
Pia za kumaintain weupe
 
Ikubali rangi yako wewe achana na mikorogo. Tafuta mafuta ya kusoftisha rangi yako bila kuchubua.
Madhara ya mikorogo ni makubwa, hasa uzeeni tunawaona wanavyoteseka.
BTW ulikuwa unatumia 'lotion' gani?
Mbinu uliyotumia wengine hawawezi kushtukia. Unajifanya kama unaponda then unaitaka hiyo lotion... 🤣
 
Kwanini hujiamini??

Bila shaka elimu yako ni darasa la saba
 
Ikubali rangi yako wewe achana na mikorogo. Tafuta mafuta ya kusoftisha rangi yako bila kuchubua.
Madhara ya mikorogo ni makubwa, hasa uzeeni tunawaona wanavyoteseka.
BTW ulikuwa unatumia 'lotion' gani?
Ila unapointi nzr mwanamke unafaa Kwa kutidua
 
sasa tumia bio oil ya kufanya uso ung'are
na uwaze kupaka mikorogo. njoo nikuuzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…