Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
 
Kwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?

Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.

Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.

Kwa wenzetu pia hali iko ivo?

Nijibu we koplo mwenye low IQ
 
Hapo umenena. Nchi zetu hizi watu hatujastaarabika sana, kwa hiyo bado tunahitaji usimamizi wa karibu sana.

Sasa anatokea mlevi mmoja tu eti Police wamejazana mno Barabarani, watu wanashangilia.
Ni shida kweli kweli.
 
Hapana hauko sahihi!
Polisi wamefanya barabarani sehemu ya kukusanyia fedha(rushwa)!

Huwezi kuweka Trafiki polisi kila baada mita 200, eti unazuia ajali.

Kuna siku nimetoka Dar saa sita mchana nikafika Morogoro jioni saa 11 mpaka nikajiuliza hivi Askari wote wahamishiwa barabarani?

Na Askari wengi ni wajinga hawa sense yoyote kwa wanakwamisha shughuli za kiuchumi kwa kaguzi zao za kila baada ya mita 200.

LAZIMA WADHIBITIWE!!
 
Ndio maana nimemuuliza analo gari? Trafiki ni kero sana tena sana. Anza kutoka posta mpaka kibaha uone.
 
Hapana hauko sahihi!
Polisi wamefanya barabarani sehemu ya kukusanyia fedha(rushwa)!

Huwezi kuweka Trafiki polisi kila baada mita 200, eti unazuia ajali.

Kuna siku nimetoka Dar saa sita mchana nikafika Morogoro jioni saa 11 mpaka nikajiuliza hivi Askari wote wahamishiwa barabarani?

Na Askari wengi ni wajinga hawa sense yoyote kwa wanakwamisha shughuli za kiuchumi kwa kaguzi zao za kila baada ya mita 200.

LAZIMA WADHIBITIWE!!

Hiyo ni kawaida Dunia nzima, tofauti ni kwamba Nchi tajiri hutumia teknolojia, lkn huwezi kutembea zaidi ya km 10 hata Ulaya/USA/Japan bila kamera ya kucontrol mwendo wa magari, sasa Tanzania hakuna kamera kuna Polisi, ni kawaida Dunia mzima ni hivyo!
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …

Low IQ Tanzania washindwa kufikiria kuweka camera barabarani kupima speed Za magari wanakubali mtu kulipwa mshahara kwa kujificha porini na simu au kamera kupima speed Za magari.​

Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
 
Barabarani au Vichakani?
 
Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
Jiji la Nairobi nchini Kenya limejaa camera Barabarani wao walipata wapi hizo fedha Za kuweka camera? Tanzania trafic ni kitengo cha IGP, na MaRPC
 
Back
Top Bottom