Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Niambie hata mmoja aliyecheleweshwa makusudi zaidi yako.Kwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?
Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.
Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.
Kwa wenzetu pia hali iko ivo?
Nijibu we koplo mwenye low IQ
Mimi natamani Polisi wapangwe Dar hadi Tunduma maana sijawahi kuona ajali inayotokea mbele ya Traffic. Zaidi nawaona traffic wakikimbizana kwenda eneo la ajali toka kwenye point zao za ukaguzi. Nachukia matendo ya polisi wahalifu lakini hili la Traffic kupunguzwa hasa kwa Dar na madereva wetu tunaowajua wamejaa stress!!