Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Iwekwe Sheria kupata leseni ya udereva lazima uwe na elimu kuanzia kidato cha 6.
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Ila wewe unaejiona un High IQ mbona unapotosha, Yule mzee hajasema askari waondelewe barabarani, bali wapunguzwe.

Mkama mmeamua kuondoka wote, kwa makasiriko ili, mtukomeshe shauri zenu.
 
Back
Top Bottom