Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ile njia ya malamba wamepangiana muda kabisa na siku,kuna wa gogoni,staki shari na wa osterbay yan bajaj,carry,daladala,gari za mizigo,toyo n.k uwa wanaipata fresh,tena bajaj muda mwingine zinaishia ndani ndani huko kuwakimbia basi uwa wanawafuata hadi huko uswazi,sasa trafiki hao utasema wanaangalia usalama au ni rushwa tu