Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
Gharama ya kuweka camera na kuajiri polisi , Bado camera ni nafuu zaidi, pia tulikuwa tushaaanza kuziweka ila polisi wenyewe ndo wanazichezea Ili kuendelea kuwepo barabarani.
Mfano mdogo ukisema uweke askari trafiki 2000 barabaran kwa nchi nzima na msharahara wa 550000 utahitaji uwe na 13.2 Kila mwaka za kuwalipa mishahara wakat ukisema ufunge mfumo wa kamera inaweza ikawa gharama mwanzon lakin huko mbele ghrama itapungua sana
 
Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
Traffic post moja barabarani inakikosi cha traffic zaidi ya wanne. Wanakuwa na tochi pamoja mashine za efd.

Gharama za mishahara pekee za hao traffic kwa mwezi ni mara nne ya gharama ya camera ya kunasa speed . Bado gharama za kuwapeleka site kila siku na kuwarudisha kituoni.

Achilia mbali ukosefu wa mapato kwa serikali yatokanayo na hawa jamaa kula ruswa, na pesa kutokufika serikali kuu.

Nchi zilizoendelea walitumia traffic kwa vile technology haikuwa advances enough kutumika barabarani. Ila baada ta technology kukua, na gharama zake kulungua..wakaamia kuhamia kwenye tehema.
 
Si kila Lori linaloingia barabarani litokea Stendi kwa sababu si kila Lori linatika Dar, mengine yatokea Ubaruku kuchukua viazi mviringo, acha kukariri ukidhani nchi yote ni Dar.
Hapo gari linaposimama na kupakia ndio stand Mkuu. Au wewe neno stand unalielewaje?
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Kwa uelewa wangu sio waondolewe barabaran ila ni kuwekwa utaratibu mzuri....sio ule was kurundikana sehemu moja kama kumbi kumbi.... Comred kinana haja kurupuka from know where...amefanya utafiti dats aliyasena aliyo SEMA which is correct....
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …

Binafsi sina shida na Traffic ila ushauri wangu,
1. Waruhusu driver naye atumie akili wasione driver kama mwanafunzi wa kindergarten kuwa kila anachofanya basi hajui/hana akili
2. Mtu ameovertake tractor inayokwenda km 10kwa saa sehemu ambayo sio ya kuovertake ila salama kwa hiyo speed ya tractor
2. Mf: gari imeingia kwenye 50 ikiwa 55 wakati haijapungua kufika 50 ambapo in 2sec itakuwa tayari 50,
3. Mtu yuko kwenye kivuko, katulia zake busy na simu, unapunguza/simama kidogo havuki unapita unaambiwa ungesubiri uone kama atavuka
4. Hayo yote yaweza kuwa makosa ya kuonywa tu; Kuonya hubadilisha mtu kuliko adhabu. Hawajui kuwa Adhabu mtu huchukulia poa tu na pengine kama adhabu imetokana na kosa dogo sana humpa hasira ambayo huweza hata kuleta ajali nyingine
 
Unaandika "habali" halafu unajiona una IQ kubwa?

Ndugu afande we tafuta kazi nyingine
Kama nimekosea kuandika haitakusaidia kufanya usipunguzwe barabarani.

Hicho kitambi chako tafuta namna ya kukilea no way
 
Haiwezekani tunatoka stend Shinyanga kunakaguliwa unasogea ushirika unapigwa mkono unasogea tena Maganzo unapigwa mkono. Siku mmoja nikamuuliza polisi Ushirika mbona hivi jama tutafika saa ngapi?! dereva akaomba samahani kwa swali langu
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Kwa kwa mtizamo wako unahisi kuwa na traffic waliojaa barabarani ndo High IQ basi jiandae kufail ktk kila kitu. Unataka kutuaminisha hao matrafic walioko kila kona wanapima madereva pombe? Hebu nikuulize dereva aliyeanzia safari Magufuli basi Termininal kufika Mbezi kwa Yusufu atakuwa ameshaenda kunywa sehemu gani? Kutoka kwa Yusuf mpaka Kibamba, Kibamba Gogoni au mpakani unawakuta, Kutoka Gogoni kwenda maili moja mizani ya zamani unawakuta, Kutoka maili moja kwenda stendi kuu ya Kibaha wapo, Stendi kuu ya Kibaha unawakuta kwa Mathias inaendelea hivo mpaka Chalinze.
Mimi naunga mkono hoja wapunguwe wakachukuwe majukumu ya GP na kazi nyingine wamejazana mno mabarabarani kila mara washa taa mchana wa jua kali, mara washa wiper wakti hakuna mvua. Ni kweli hawana kazi. Kuwe na trafic stend kuu, maeneo yenye vivuko na wingi wa watu basi. Siyo unasimamishwa Ubungo Maji, ukifika Kibo mkono, Kimara mkono, Kwa Msuguri mkono, Mbezi stend mkono, Kwa yusufu mkono mpaka unafika Morogoro umesimamishwa mara ishirini na kila uliposimamishwa kuna trafic watatu mpaka sita. Matumizi mabaya ya rasilimali watu na muda.
 
Mtoa mada tatizo ni hizi used Cars , ishauri serikali itoe Ruzuku tununue magari mapya.
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Binafsi nasema Bora wameondolewa,vinginevyo wawafunze na kuchagua wenye maadili ya kutokula rushwa na kukera raia wema🤔
 
Ushauri kwa Wizara ya Mambo ya Ndani kuwepo na hizo camera za kupiga picha magari yanayozidisha speed maeneo husika alafu yenyewe ipeleke hizo taarifa kwenye mfumo wao.

Mfumo ukipokea taarifa itengeneze faini ambayo ama mhusika atapata sms ya kupigwa faini kwa kuzidisha mwendo eneo fulani ama mhusika ataingia kwenye Motor Vehicle Assessment ataangalia kama kuna faini aliyopigwa na hiyo faini mhusika atapewa siku 7 za kukata rufaa na kama atashindwa basi baada ya siku 7 faini itakuwa halali na itapaswa ilipwe kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa..

Kusiwepo na maongezi ya dereva na trafiki njiani kwenye kuzidisha mwendo, sana sana trafiki watafanya ukaguzi wa kawaida wa gari ikiwemo malimbikizo ya madeni ya faini ambayo hayajalipwa.
 
Kwa mtazamo wako Kazi ya Traffic barabarani ni kuzuia/kucheki mwendo kasi pekee? ; Kimsingi hiyo ni kama 30% ya kazi zao wawapo barabarani
1. Nahisi Suluhisho ni kuanza kujipanga upya; Kwa kuanzia na kuhakikisha tunao madereva sahihi wenye daraja C; wanaoweza kuendesha kwa kuheshimu sheria za barabani
2. Magari ya mikoani sehemu salama yaruhusiwe kuanza safari saa kumi ya alfajiri; kuepusha kurusu magari yooooote saa kumi na mbili na hivyo kuleta mashindano (Mfano kutokea Arusha/Moshi/dar/nk)
 
Ukitaka kuwa na madereva sahihi angalau wenye elimu ya kuanzia kidato cha sita.
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Tatizo ni ccm, haiwezekani mwanasiasa anaropoka jambo kwenye mkutano wa siasa linaloendana na utendaji kazi wa mamlaka za dola pasipo kujua au kwa kupuuzia uhalisia wa mazingira yanayopelekea idara kama polisi kuamua kufanya vile.
 
Mpo wengi sana bara barani inatakiwa mpunguzwe Nchi itafute sehemu sahihi za ajira sio kusimama tuu barabarani tena mijini hakuna gari za patrol bara kubwa za umbali mrefu...natoka Dezsa mpaka wa Malawi na Msumbiji mpaka kasumulu ni gate za bara barani na kama wapo trafiki ni wachache sio wasumbufu kama wa kwetu..wanakagua gari zile zile mwezi uliopita kabla hawajafukuzwa niliwaona karibu na home nikajisemea wanakoenda wataanza kuja majumbani..ajali za mabus zipo maporini wao wamejazana mijini wanazuia nini?
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
IDADI ya Wajinga inaongezeka kwa KASI kubwa Nchini ndio hao wanaofurahia
 
Back
Top Bottom