concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Gharama ya kuweka camera na kuajiri polisi , Bado camera ni nafuu zaidi, pia tulikuwa tushaaanza kuziweka ila polisi wenyewe ndo wanazichezea Ili kuendelea kuwepo barabarani.Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
Mfano mdogo ukisema uweke askari trafiki 2000 barabaran kwa nchi nzima na msharahara wa 550000 utahitaji uwe na 13.2 Kila mwaka za kuwalipa mishahara wakat ukisema ufunge mfumo wa kamera inaweza ikawa gharama mwanzon lakin huko mbele ghrama itapungua sana