johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanaumwa na nyokaKwani kuna shida gani hata ikiwa vichakani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaumwa na nyokaKwani kuna shida gani hata ikiwa vichakani?
Una maanisha kuuliza kuwa mleta mada analo gari? So wasiokuwa na magari wasihoji huu upuuzi? Kwani tukipanda gari hatuoni uzembe wa madereva? Hata kama hatuna gari lazima tuongee lakini hata hivyo tunaendesha gari hata za office so tunajua umuhumu wa askari.Ndio maana nimemuuliza analo gari? Trafiki ni kero sana tena sana. Anza kutoka posta mpaka kibaha uone.
Low IQ ni yule ambaye anaamini kupunguza utitiri wa trafiki mijini na kuwapeleka upcountry ni kuondoa trafiki barabarani.Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
UZEMBE WA MADAREVA unatokana na mafunzo hafifu na upatikanaji wa leseni bila vigezo muhimu.
Wingi wa polisi barabarani unasaidia kukusanya pesa na sio kuzuia ajali..
Turudi kwenye kutoa mafunzo na sio kwenye faini ndipo tutapunguza ajali..
Mawazo yako.....Hata kwa waliofunzwa vizuri bado hawafwati sheria kama hakuna wakuwauliza chochote!
Tatizo sio kufata sheria tatizo ni serekali kushindwa kujenga baraba vizuri za mijini na vijiji pesa zinazokusanywa zinenda wapiHata kwa waliofunzwa vizuri bado hawafwati sheria kama hakuna wakuwauliza chochote!
Kwani gari limebeba nchi au abiria? Abiria ni kuku wa kisasa kwamba ukiwachinja ni sawa na ukiwafuga ni sawa? Hii nchi abiria hawawezi kumcontrol dereva kuhusu mwendo mpaka serikali. Nyerere shikamoo. Sasa kama dereva tu haiwezekani itakuaje akitokea raisi dikteta anayevunja katiba waziwazi na kuua watu majukwaani?Sasa kama nchi imefikia hapo hiyo ni failed state, kwamba abiria ndiyo wana kazi ya kudhibiti mwendo wa gari?
Only 8n Tz unaweza enda kwa kijiji ukawapikia wali na pombe na kamuziki ukaonekana mtu mwingine akajenga hosp wakamuona mbahili na asie faa while wanatibiwa kwenye hosp amejenga mwisho wote wakaenda kuomba ardhi heka 100 akapewa alie wapa misosi... Mungu help usKila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Hata mimi inanishangaza polisi kutekeleza amri ya katibu mkuu wa chama cha siasa ambae anajipendekeza kwa madereva wanapoenda kuvunja sheria polisi lazima wasimamie taaluma yao katika kulinda usalama wa Wananchi mabarabarani co kusikiliza waña siasa.Aisee hili hata mm limenishangaza sana
Hata mimi nimeshangaa misinterpretation ya Mr High IQ. Kinana hakusema kuwa polisi wote waondolewe barabarani ila wapunguzwe tu. Kwa kweli imekuwa toooooo much!Kwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?
Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.
Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.
Kwa wenzetu pia hali iko ivo?
Nijibu we koplo mwenye low IQ
We ni mpubavu hujui unatengeneza propaganda zakusingizia madereva kusababisha ajali ili kuongeza idadi ya traff officers barabarani makusanyo ya kodi za magari zianaenda wapi ? Pale bandari gari dogo ushuru kuanzia 5m kwenda juu kuna kodi ya barabara kwenye mafuta nanyinge nyingi pesa zinaenda wapi?zilipswa kujengwa baraba na alama kama hizi nchi mzima