Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Trafiki hawazuii ajali..wanatumia barabara kama kitega uchumi...
Kila ofisi wahlifu wapo, hebu nenda Mahospitalini, Tamisemi, Mabaraza ya ardhi, Mahakamani, n.k kote Malalamiko yapo, kwa hiyo nako wapunguzwe?? We huna kosa, unaogopaje askari?? Hebu tuanzie hapo!
 
Kwa nn utoe rushwa kama huna kosa??
Wanakuandikia tu kwani leseni si umeshamkabidhi?

Ushawahi kufikiria hata tire yako ku expire na hujaibadili bado inaweza kukugharimu 30,000?

Trafiki akiamua hakosi kosa
 
Kweli kabisa !
 
Kila ofisi wahlifu wapo, hebu nenda Mahospitalini, Tamisemi, Mabaraza ya ardhi, Mahakamani, n.k kote Malalamiko yapo, kwa hiyo nako wapunguzwe?? We huna kosa, unaogopaje askari?? Hebu tuanzie hapo!
Kosa haliwezi kosekana wakikuamulia watalipata tu! Unless otherwise uwe jeuri tu.
 
Ndio maana nimemuuliza analo gari? Trafiki ni kero sana tena sana. Anza kutoka posta mpaka kibaha uone.
Kama ni kero basi badilisheni sheria ili wasiwepo, sio kutumia majukwaa ya siasa kutafuta umaarufu, halafu mnamtega IGP mpya, aondoe askari, ajali zikizidi mumshtaki kwa kukiuka katiba na sheria sio??!!
 
Wajinga ni Wengi sana na wanazidi kuongezeka kwa KASI ya Ajabu
 
Ukweli usemwe mtoa mada dishi limeyumba

trafki hawazuii ajali madereva ndio wanazuia
Kwa Akili zako hujui hawa Polisi ndio wanawaelimisha Madereva juu ya kuzuia AJALI?
 
Nani kasema wanaondolewa. Yeye ametoa wazo/ maoni polisi wapunguzwe barabarani. Jeshi limesema litalitazama huko.

Sijaona mahali kua watawaondoa polisi barabarani
MTU mzima kama yule anapoongea uongo wa wazi lazima tumshangae!! Eti kila mita 100 kuna askari!! Hao waliopo tu hawatoshi, hao kupangwa hivyo wanatokea wapi??
 

Low IQ Tanzania washindwa kufikiria kuweka camera barabarani kupima speed Za magari wanakubali mtu kulipwa mshahara kwa kujificha porini na simu au kamera kupima speed Za magari.​

Mwenye uwezo wa kushawishi fungu la kamera, anashauri tu kuondoa askari!!
 
Vichwa vyenu mnavitumia kufugia nywele tu! Nani kasema watolewe!? Wameshauriwa kupunguza idadi ya vituo vya trafic hasa vilivyokaribiana ili kupunguza usumbufu na kuokoa muda.
 
Mwezi mmoja ni parefu sana ! Tuwaondoe kwa siku kumi tu uone mziki wa kugongana uso kwa uso na ule mziki wa kuuziana cheche wanavyosema wenyewe !!
 
Polisi wasipokula rushwa Hakuna gari itatembea barabarani,
 
Kama ni kero basi badilisheni sheria ili wasiwepo, sio kutumia majukwaa ya siasa kutafuta umaarufu, halafu mnamtega IGP mpya, aondoe askari, ajali zikizidi mumshtaki kwa kukiuka katiba na sheria sio??!!

Hakuna mahala IGP kaambiwa aondoe askari.
Ameshauri apunguze trafiki barabarani wengi wapo unnecessary.


Juzi nimepita njia ya temeke kabla ya kufika mitaa ya vetenari pale kuna trafiki sita.

Acheni upuuzi, kwani katika jeshi la Polisi kitengo ni utrafiki tu?

GD inawahusu wababaishaji nyie
Mtafarakana sana ila ndo ushauri ushaenda kwa boss wenu na ashaanza kuufanyia kazi.
Mnatunyanyasa sana, unakamata gari mtu kasahau leseni home anakwambia kaisahau unakomaa apeleke gari kituoni wakati sheria yenyewe inatoa room ya mtu kuileta leseni ndani ya siku kadhaa.

Hovyo sana polisi wa std 7 na form four felia mnatusumbua sana
 
Police wanaweza ondolewa barabarani kwa Jamii ambayo ni civilized. Angalia tu mziki wa kama taa za kuongozea zimezima na hakuna askari KILA mmoja anataka kuwahi then wanajiblock
 
Vichwa vyenu mnavitumia kufugia nywele tu! Nani kasema watolewe!? Wameshauriwa kupunguza idadi ya vituo vya trafic hasa vilivyokaribiana ili kupunguza usumbufu na kuokoa muda.

Trafiki wamepanic mpaka wanabadilisha maneno ya Kinana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa we kama umesahau leseni, si utaipeleka, akikwambia gari peleka kituoni, unamwambia nawahi hospital nakuletea ndani ya saa 72 unatia gia unaondoka zako!!
 

Mlikuwa mmezidi rushwa,.wache kututukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…