Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Traffic ni lazima uleta nidhamu barabarani kwa maana ya dereva huwa makini kuhofia buku mbili yake.
 
Sasa we kama umesahau leseni, si utaipeleka, akikwambia gari peleka kituoni, unamwambia nawahi hospital nakuletea ndani ya saa 72 unatia gia unaondoka zako!!

Sio waelewa kabisa hao jamaa. Mtu unaguliwa unawahi hospital umesahau leseni una kitambulisho cha kawaida unamuelewesha askari haelewi ndo kwanza anakuweka pembeni anaenda kwenye magari mengine hapo utasota sana lengo lake ujiongeze na usipojiongeza anakupeleka kituoni kweli wakati hata sio lazima.


Kuna mambo ya kukomalia kama kukuta dereva anaendesha gari amelewa sio mtu kasahau leseni au kioo kimepigwa na kajiwe kimeonyesha msitari mtu anakomaa nawewe utadhani umeua mtu.
 
Traffic ni lazima uleta nidhamu barabarani kwa maana ya dereva huwa makini kuhofia buku mbili yake.
Bila shuruti mswahili haendi
 
Wewe ndiyo mwenye low iq na kutokutembea.

Umezaliwa chato umekulia nyarugusu na hv sasa unaishi nyamirembe na kaburi lako litakua kolomije.

Kenya unaweza tembea zaidi ya km 200 bila kumuona trafik, zambia, Drc, Botswana, Uganda hata somalia pia ni hivyo hivyo.
Wacha na trafiki waanze kujiunga kwenye vikoba.
 
pia hawa jamaa wapo barabarani kuomba hela ya maji au ya kupigia brush buku moja unapita ikija gari ingine wanapeana zamu so hakukua na tija yoyote
 
Wanaotaka Trafik waondolewe point yao kuu ni "rushwa" na "usumbufu"

wanaotaka trafik wabakishwe point yao kuu ni "usalama wa maisha"

Naungana na wanaotaka trafik wabaki,hao wanaotaka waondolewe sababu zao

pia ni za msingi,trafiki waelekezwe waambiwe madhaifu yao ila wasiondolewe ila

kama mishahara ya kuwalipa ipo basi nashauri waongezwe maana hawatoshi bado.
 
Ingekuwa jamii yenye high IQ hata ccm isingekuwepo madarakani.
 
TRafic anacheza kikoba Cha laki 1 ataAchaje kukubambikia kosa
 
Shiiiiiijj........ ongea polepole. Low IQ ndicho kigezo kikuu cha kupata ajira katika Jeshi la Poisi. Div. 1 na 2 hawatakiwi katika Jeshi la Polisi. Yasemekana wakiajiriwa, wanakuwa na 'option' ya kuacha kazi na kuajiriwa kwingineko. Polisi anatakiwa asiwe na sifa ya kupata ajira nje ya Jeshi la Polisi. Acha kabisa kutaja mambo ya IQ!
 
Mpumbavu wewe, ajali za mijini ni ngapi.
Au nawe unakurupuka na kuja kuleta hoja za kijinga hapa.
Kinana kasema ma trafiki waondolewe mijini
 
Kwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?
msome tena mletamada,na huu sio muda wa kulewa.
Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe
unaelewa maana ya neno wapunguzwe???acheni upumbavu watz siasa zinawadumaza.
yaani wewe unafikiri watapunguzwa kwa kuvalishwa nguo nyeusi au??wataondolewa barabarani wabaki ambao wewe na yeye msivyo na akili mnaona wanatosha,sijui wangapi??
, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.
narudia tena acha ujinga,unahisi kusumbuliwa na traffic!!!unatakiwa ujue kwamba hata waliopo hawatoshi.
Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.
una shughuli ipi wewe ya maana unayochelewa kwa akili hizi!!!
Kwa wenzetu pia hali iko ivo?
wenzenu akina nani??umetembea nchi gani wewe ambayo haina points za ukaguzi??
Nijibu we koplo mwenye low IQ
kama huyu koplo ana low IQ,wewe na mwindaji wa tembo,mko bellow average.
yule anazeeka tutamsamehe,bahati mbaya wewe utakuwa ni kijana wa hovyo una 34yrs tu.
 
Traffic ni lazima uleta nidhamu barabarani kwa maana ya dereva huwa makini kuhofia buku mbili yake.
Bila shuruti mswahili haendi
Ila trafiki aliekuwepo magogoni 2015-2021 mlimuita majina yote ya hovyo. Watanzania tumeshindikana kwa unafiki. Mtu anasapoti upande unaofeva hata kama ni wa ibilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…