Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

Na watakupekua mpaka wakujue kuna watu wanaweza kunotice maafisa kipenyo yaan wakikuona tu wana uwezo wa kunusa na kugundua huyu ni intel wataanza kukufukunyua mpaka uweke high profile mezani ndio hapo inasikika milio yalaaa

Uza maembe au madafu
Watu wa Kawaida hawavutiwi na Watu wa Aina hiyo
 

Be them
 
Vijana wa Siku hizi akipata vipesa kidôgo anataka Dunia nzima ijue. Anataka kuvimba.
Bora Basi awe nazo, unakuta Hana lakini anajifanya Anazo. Hapo ñdipo mkwamo unapoanzia
Hahah hii inatufanya tunapata tabu baadae mambo yakiwa magumu.

Hii kanuni ya kuishi kwenye low profile inaendana na moja ya zile kanuni za kwenye 48 laws of power hasa ile ya usiri ili kuepuka maadui pia kuendelea kutekeleza mipango yako na hatua zako kwa uzuri kabisa.
 
Uzi maridhawa, hongera sana
 

Naam Mkuu
Na hii huwatesa Wasanii wengi Sana wa Bongo movie
 
Kwa hili we ni genious ndio maisha yangu hayo leo utaniona kweoye land crues kesho kwenye baiskel ya mkaa baadh ya watu guwa wanadai jamaa anapesa za manyoka kumbe ni vile tu napenda kuwa hv na hainipag shd kutembea kitaa kwa uhuru

Unaishi ukiwa Huru na Amani Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…