Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #81
Hiyo ni Moja ya mbinu Bora
Lakini nakushauri
Usitumie njia Moja tu
Hata mkwara Kuna sehemu unakuvusha
Wanasema, pesa huna hata mkwala?
Vijana changanya mbinu
Tusiamin katika uhalisia na unyonge pekee
Unaweza pata favor ya kupata pesa na kula pisi kali Kwa kuvimba tu
Unavimba unanufaikaShida ya kuvimba ni Ushindi wa kutangulia Kwa baiskel ya mabua. Huko mbele wahuni wanaitia Kiberiti ndîo unasikia Kilio
Nafeel insecurity sana tangu aingie humu.
Unavimba unanufaika
Kesho unarudi kwenye uhalisia wako
HakikaYeah kama NI mechi ya mchangani ni Sahihi Kabisa ila kama NI mechi zile zinazoingia kwèñye rekodi hiyo siô njia sahihi
Hakika
Sisi wenye kazi za kusafiri na kupiganisha
Ukileta unyonge imekwisha
Useme ww ni yatima, sijui jobless, huna connection n.k
Utakwama
Piga uongo vimba fanikisha jambo lako, tembea
Kuna mwenzako kitaani kajiinua kama anayaweza wazee wa busara wamemtia ulemavu wa machoLow profile uswazi haifanyi kazi iyo formula mkuu, ukitaka uchapiwe mke au watoto wako wateseke na kila mtu kuwaonea jifanye low profile.......
Huku ni mwendo wa warthog a.k.a mwendo wa ngiri hakuna kurud nyuma ukiweka jiwe mim naweka chuma chenye kutu........
Watu wasingekufa na njaaKwanini mtu "upambane na maisha? kwani ulijileta mwenyewe hapa duniani?
Mfumo wa maisha kamili tayari Muumba wetu katupa, tuufate tu huo, hatuna haja ya kupambana wala kujiumiza vichwa. Kila kitu tumeumbiwa sisi tukitumie na vipi tuishi tumeshapewa Mwongozo.
hatuna kabisa sababu ya "kupambana" na maisha.
saa mbovu leo imeongea ukweli
mtibeli yanyok....
Wahenga walisema, Majivuno ni mwanzo wa anguko.Hii haiwahusu wale jirani zake na mimi kina nshomile,, huu mtihani walipata F wale watu wanajua kujigamba bwana, japo wapo wachache mno wanaoweza kuuishi huu uzi
Umeniwahi mkuu.saa mbovu leo imeongea ukweli
mtibeli yanyok....
Ni ukweli wabongo kiasili hawapendi watu wanaojisifia ila watu wana namna yao ya kukuvuruga
yaaUmeniwahi mkuu.
Kuwa humble kuna saidia katika mengi.
yaa
dogo leo hajavuta bangi kaongea kitu ambacho nimoja ya utamaduni wangu
ugoro naunywa kabisa sio kuvuta tuuSo nikiongea kinachokupendeza au ambacho unakipenda ndio sijafuta Bangi?
Wewe utakuwa unavuta ugoro wewe sio bure