Elections 2015 Lowassa afunika Dakawa, ni akiwa njiani kwenda Dodoma

Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
Hiki ulichokiandika hapa ni nini?

Wewe unahitaji kuhurumiwa kama siyo darasa la kifikra!
 
Badala ya kufunika nchi kaamua kwenda kufunika Dakawa?Hajui kuna mtu kwa sasa anafunika Afrika lakini wala hana makeke?
 
Ni kama namuona hana tofauti na wasanii esp kama Diamond akifurahiwa na wananchi. Siasa naona ipo kuleeeee kwa upande wake
 
Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
 
Kwani wamasai hawatakiwi kuwa DAKAWA...Hivi mashabiki wa CCM mtaacha lini fikra za Kibaguzi?? unataka kuwaamisha watu kuwa Lowasa alichaguliwa/anapendwa na wamasai tu?
usisahau kuwa lowassa ni kiongozi wa kimila kwenye kabila la wamasai. ndo maana hapo kwenye picha huoni watu wengine zaidi yao. ninachokijua dakawa kuna makabila mengi likiwemo kabile enyeji ambalo sio wamasai. lakini siwaoni hapo kwenye picha.
 
Duuuuh! Lakini mamvi mie nakukubali mahana unamfanya magu awe lesi kwenye serikali yake
 
Ana miezi 3 , nikwel ..ww je unamiezi mingapi kwenye chama chako na nini umefanya.sio kila post ucomment vingine huvijui viache
 
Nyumbu ni ccm ambao Nchi haina maendeleo lakini wameishi kwa matumaini kuwa ipo siku Mungu atashusha muujiza CCM watazinduka na maendeleo kuja kwa kasi .
BORA CCM ITAWALE MILELE HATA CC CDM ASILIA TUKO RADHI KULIKO FISADI KUPEWA NCHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…