Hivi nyie mnataka kujifanya ni marafiki wa lowassa kuliko jk??mnajua walikotoka?mnajua walichokubaliana toka mwanzo?nyie lowasa mmemjua leo tena kwa kukutanishwa nae barabarani,jk na lowassa lao moja kwa taarifa yenu,wanawachezesha ngoma msioijua makusudi tu wao wanajua wanafanya nini,ndio mana watu kama cc tunaowajua wote na ufanyaji wa siasa zao toka wako chuo kikuu wote tunawaweka kundi moja na kuwagonga pamoja!ukweli ni kwamba Lowasa ni kichwa kushinda JK, hilo ni zigo ambalonilakumuua JK, hii ndiyo maana ya ile kauli aliyosema kwa wandishi wa habari juu ya kujivua gamba kuwa wakati ukifika nitasema, naona sasa ameamua kusema.tehe:lol::lol: tehe:lol::eyebrows::eyebrows:
Ni muda mrefu kidogo umepeta toka waziri mkuu wa kwanza wa awamu ya nne ndugu Edward Ngoyai Lowasa ajiuzulu wadhifa wake. Kila mara huwa najaribu kutafakari na kuwauliza watu mbalimbali kama kuna anayeweza kunifafanulia kosa la mkubwa yule. Nilimwamini sana na pia niliamini sana utendaji wake wa kazi, Hata hivyo hadi sasa imani yangu kwake haijapotea kabisa kwani kuna mambo yanayofanywa na serikali ambayo yananifanya niamini kuwa alikuwa mtu makini katika kutenda shughuli zake.
sina uwezo wa kumpamba sana ila naomba kama kweli alikosea kuileta kampuni ya Richmond/ Dowans, imekuwaje sasa kampuni hiyo ibadilishwe jina na kuja kuzinduliwa na Rais Mkuu wa Dunia?
Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza kumudu mradi mkubwa wa umeme na tena ibarikiwe na Rais wa Dunia Barack Obama na JK mwenyewe... kweli haya ni maajabu ya dunia.
Lakini inaopnyesha ni jinsi gani Mzee Six na timu yake yalivyoweza kufanya mchezo mchafu wa kummaliza kisiasa mchapakazi EL kwa ajili ya fitina, chuki binafsi na uchu wa madaraka...
unataka kutuambia serikali kuamua kumpeleka obama pale ikikuwa ku-prove kwa umma kwamba Sitta na Mwakyembe walichemka? mitambo ilikuwa genuine na inafua umeme unaotakiwa? inavyoonekana mpira sasa umemgeukia Sitta na Mwakyembe kwamba ni waongo.Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza kumudu mradi mkubwa wa umeme na tena ibarikiwe na Rais wa Dunia Barack Obama na JK mwenyewe... kweli haya ni maajabu ya dunia.
Lakini inaopnyesha ni jinsi gani Mzee Six na timu yake yalivyoweza kufanya mchezo mchafu wa kummaliza kisiasa mchapakazi EL kwa ajili ya fitina, chuki binafsi na uchu wa madaraka...
unataka kutuambia serikali kuamua kumpeleka obama pale ikikuwa ku-prove kwa umma kwamba Sitta na Mwakyembe walichemka? mitambo ilikuwa genuine na inafua umeme unaotakiwa? inavyoonekana mpira sasa umemgeukia Sitta na Mwakyembe kwamba ni waongo.
Ni muda mrefu kidogo umepeta toka waziri mkuu wa kwanza wa awamu ya nne ndugu Edward Ngoyai Lowasa ajiuzulu wadhifa wake. Kila mara huwa najaribu kutafakari na kuwauliza watu mbalimbali kama kuna anayeweza kunifafanulia kosa la mkubwa yule.
Nilimwamini sana na pia niliamini sana utendaji wake wa kazi, Hata hivyo hadi sasa imani yangu kwake haijapotea kabisa kwani kuna mambo yanayofanywa na serikali ambayo yananifanya niamini kuwa alikuwa mtu makini katika kutenda shughuli zake.
sina uwezo wa kumpamba sana ila naomba kama kweli alikosea kuileta kampuni ya Richmond/ Dowans, imekuwaje sasa kampuni hiyo ibadilishwe jina na kuja kuzinduliwa na Rais Mkuu wa Dunia?
Unatetea mwizi EL?
Kosa la Serukamba lilikuwa kutukana Bungeni....
kichwa kina mchanganyiko wa yale ya makalioni.