Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

ukweli ni kwamba Lowasa ni kichwa kushinda JK, hilo ni zigo ambalonilakumuua JK, hii ndiyo maana ya ile kauli aliyosema kwa wandishi wa habari juu ya kujivua gamba kuwa wakati ukifika nitasema, naona sasa ameamua kusema.tehe:lol::lol: tehe:lol::eyebrows::eyebrows:
 
Hivi nyie mnataka kujifanya ni marafiki wa lowassa kuliko jk??mnajua walikotoka?mnajua walichokubaliana toka mwanzo?nyie lowasa mmemjua leo tena kwa kukutanishwa nae barabarani,jk na lowassa lao moja kwa taarifa yenu,wanawachezesha ngoma msioijua makusudi tu wao wanajua wanafanya nini,ndio mana watu kama cc tunaowajua wote na ufanyaji wa siasa zao toka wako chuo kikuu wote tunawaweka kundi moja na kuwagonga pamoja!
 
Ni muda mrefu kidogo umepeta toka waziri mkuu wa kwanza wa awamu ya nne ndugu Edward Ngoyai Lowasa ajiuzulu wadhifa wake. Kila mara huwa najaribu kutafakari na kuwauliza watu mbalimbali kama kuna anayeweza kunifafanulia kosa la mkubwa yule.

Nilimwamini sana na pia niliamini sana utendaji wake wa kazi, Hata hivyo hadi sasa imani yangu kwake haijapotea kabisa kwani kuna mambo yanayofanywa na serikali ambayo yananifanya niamini kuwa alikuwa mtu makini katika kutenda shughuli zake.

sina uwezo wa kumpamba sana ila naomba kama kweli alikosea kuileta kampuni ya Richmond/ Dowans, imekuwaje sasa kampuni hiyo ibadilishwe jina na kuja kuzinduliwa na Rais Mkuu wa Dunia?
 
Ni muda mrefu kidogo umepeta toka waziri mkuu wa kwanza wa awamu ya nne ndugu Edward Ngoyai Lowasa ajiuzulu wadhifa wake. Kila mara huwa najaribu kutafakari na kuwauliza watu mbalimbali kama kuna anayeweza kunifafanulia kosa la mkubwa yule. Nilimwamini sana na pia niliamini sana utendaji wake wa kazi, Hata hivyo hadi sasa imani yangu kwake haijapotea kabisa kwani kuna mambo yanayofanywa na serikali ambayo yananifanya niamini kuwa alikuwa mtu makini katika kutenda shughuli zake.
sina uwezo wa kumpamba sana ila naomba kama kweli alikosea kuileta kampuni ya Richmond/ Dowans, imekuwaje sasa kampuni hiyo ibadilishwe jina na kuja kuzinduliwa na Rais Mkuu wa Dunia?

Kuondolewa kwake kiasi kulichangiwa na utekelezaji wa azimio la Abuja la mwaka 1987. Ila wale waliojiita makomanda dhidi ya ufisadi walitumika kichwa kichwa bila kujua siri iliyo nyuma ya pazia.:A S wink:
 
ni mawazo yako mkuu hatuwezi kuyapinga ila nadhani unauliza kile unachokijua.
 
Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza kumudu mradi mkubwa wa umeme na tena ibarikiwe na Rais wa Dunia Barack Obama na JK mwenyewe... kweli haya ni maajabu ya dunia.

Lakini inaopnyesha ni jinsi gani Mzee Six na timu yake yalivyoweza kufanya mchezo mchafu wa kummaliza kisiasa mchapakazi EL kwa ajili ya fitina, chuki binafsi na uchu wa madaraka...
 
Aliahidi kuongolea kika kitu muda muafaka ukifika, huyu jamaa anamengi rohoni mwake ambayo sisi watanzania hatuyajui, Kujiuzulu kwake ilikuwa kukiokoa chama chake na serikali yake.

Hata hivyo ana kazi kubwa sana kuwafanya watanzania wamwamini na kumchagua kuwa kiongozi wao, ingawa pia kugombea kupitia CCM ni kikwazo kingine kwani chama hiki hakiamininiki miongoni mwa watanzania walio wengi, sababu ya siasa zake za kutumia pesa na vyombo vya dola kuwakandamiza wapinzani.
 
Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza kumudu mradi mkubwa wa umeme na tena ibarikiwe na Rais wa Dunia Barack Obama na JK mwenyewe... kweli haya ni maajabu ya dunia.

Lakini inaopnyesha ni jinsi gani Mzee Six na timu yake yalivyoweza kufanya mchezo mchafu wa kummaliza kisiasa mchapakazi EL kwa ajili ya fitina, chuki binafsi na uchu wa madaraka...

Unatetea mwizi EL?
 
unataka kutuambia serikali kuamua kumpeleka obama pale ikikuwa ku-prove kwa umma kwamba Sitta na Mwakyembe walichemka? mitambo ilikuwa genuine na inafua umeme unaotakiwa? inavyoonekana mpira sasa umemgeukia Sitta na Mwakyembe kwamba ni waongo.
 
binafsi sielewi ni kanuni gani zinatawala hii nchi lakini ukweli ni kwamba hawa wakubwa wamegundua kuwa ni 'outo piloting' na sio ajabu akasika Rais Obama pale Ubungo akiiamrisha kampuni imalize project kwa muda unaotakiwa, mpaka Prof. Muhongo anasema mbele yake kuwa permit inachukua siku mbili!!!
Sijui wasipomaliza atachukua hatua kupia magogoni au moja kwa moja!
lws.jpg
 
unataka kutuambia serikali kuamua kumpeleka obama pale ikikuwa ku-prove kwa umma kwamba Sitta na Mwakyembe walichemka? mitambo ilikuwa genuine na inafua umeme unaotakiwa? inavyoonekana mpira sasa umemgeukia Sitta na Mwakyembe kwamba ni waongo.

Huo ndio ukweli yapo mengi nyuma ya paziaaaaaaaa..................
 
Mchezo wa siasa wa ajabu sana hata haieleweki nani muongo

"To know the enemy is half the victory"
 
Kosa la Serukamba lilikuwa kutukana Bungeni....

Last edited by a moderator:
Ni muda mrefu kidogo umepeta toka waziri mkuu wa kwanza wa awamu ya nne ndugu Edward Ngoyai Lowasa ajiuzulu wadhifa wake. Kila mara huwa najaribu kutafakari na kuwauliza watu mbalimbali kama kuna anayeweza kunifafanulia kosa la mkubwa yule.

Nilimwamini sana na pia niliamini sana utendaji wake wa kazi, Hata hivyo hadi sasa imani yangu kwake haijapotea kabisa kwani kuna mambo yanayofanywa na serikali ambayo yananifanya niamini kuwa alikuwa mtu makini katika kutenda shughuli zake.

sina uwezo wa kumpamba sana ila naomba kama kweli alikosea kuileta kampuni ya Richmond/ Dowans, imekuwaje sasa kampuni hiyo ibadilishwe jina na kuja kuzinduliwa na Rais Mkuu wa Dunia?

Serikali ina taratibu zake za ufanyaji kazi hasa inapohusisha manunuzi. Hata inapotokea dharura; hata iwe ya aina gani, bado kuna mwongozi wa jinsi ya kufikia maamuzi. Huyu kiongozi staili yake ya kufuatilia mambo wakati mwingine alikuwa hafuati utaratibu uliowekwa na wale wasiompenda kutokana na ukali wake wakatumia udhaifu huo kumshughulikia.
 
Tatizo hatujajua kilicho nyuma ya watu hawa watatu. ( Jk,El na obama)
Tutakuja kulia baadaye.
 
Sikutegemea wewe mtoto wa June 5 2013 hapa JF kulielewa hilo. Ukishazoea JF na kuwajua Wakongwe wa hapa na uandishi wao basi utaelewa siku moja kwa nini hiyo Video imetokea hapo. Leo nakuacha tu ubwabwaje Mwanawane. Msula eve.
kichwa kina mchanganyiko wa yale ya makalioni.
 
Wee hujawafahamu CIA na ushenzi wao.

Hebu soma hii habari CIA and Contras cocaine trafficking in the US na usome kwa nini walivamia Nicaragua na kumteka Noriega. CIA and Contras cocaine trafficking in the US - Wikipedia, the free encyclopedia

Wameshajihusisha na mabaya zaidi ya haya. Kama CIA kwa kupitia huu mradi watapata hela yao nzuri na tena halali, why not? Ndiyo maana kuna wanaosema kuwa ni wa Serikali na wengine ni wa CIA.

Sasa USA wametoa $ 7 billions kwa ajili ya ENERGY kwa Africa. Hapo unaweza kukuta ni chama cha Democrat nao wamechangamkia tenda kwa kula deal na akina Rostam Azziz kwa kwa sababu unaweza kukuta hizo faini tulizozilipa kwa Dowans ndiyo zilitumika kwenye kampeni ya Obama.

Huwa ni ngumu sana kujua na nina imani hata akija Dr. Slaa kuwa Rais, bado na yeye atakuta kitanzi kizito kinamsubiri. Hata kama mkifanya mapinduzi badi huo mnyororo unakuwa unakusubiri. Sema tu siku hizi unaweza kulala na Wachina na ukaacha sana kuwategemea watu wa West ingawa siyo rahisi labda uwe na Mafuta au Gas kama kesi yetu sisi.

Back
Top Bottom