Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

Kosa la Lowasa kwa asiyejua asome ripoti ya richmond ndo atafahamu ukweli na hii ya kuja omaba na kutembelea symbion haiondoi ukweli wa suala lenyewe katika ripoti hii ya richmond. na mitambo hii ilipaswa iwe ya serikali buree kabsaa ila kwa udhaifu wetu sisi wenye akili ndogo ndo ikapelekea symbion wainunue na kuwalipa fidia wezi papa wa raslimali za watz EL na RA.
 
Unajaribu kusafisha kimba!!!!!!, HALISAFISHIKI
 
symbion si ile richmond.symbion wameleta mitambo mipya ya kisasa na wameifunga pale ubungo na juzi ndo ilikuwa inazinduliwa rasmi.kuifananisha mitambo ya symbion na yale majenereta ya richmond ni kupotosha umma
 
Ambae anaweza akawa na uhaki wa jibu la moja kwa moja ni Lowasa mwenyewe aliyejiuzulu baada ya kujiona kuwa na makosa yamupasayo kujiuzulu na ndiyo maana alisema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hakuna alilolifanya pasipo mwenyekiti kushiriki.Kwa jinsi hiyo makosa aliyoyafanya anayajua ila hayo makosa hakuyafanya pekee yake na ndiyo maana akalazimika kujiuzulu wakati huohuo anajiona ni kama hajatendewa haki kwa kuwajibika peke yake kwa makosa yaliyofanywa pamoja na wenzake.
 
EL ni kiongozi Bora na anafaa kuwa Rais wetu 2015. Na mwobea sana Aupate Urais na ndo utakuwa wakati mwafaka wa kuweka mambo waz ikibidi
 
Sitta,mwakyembe wanafiki,wanachekelea kufanya kazi na pinda asiyekua na meno.EL ni mpiganaji tatizo ccm
 
wee hujawafahamu cia na ushenzi wao.

Hebu soma hii habari cia and contras cocaine trafficking in the us na usome kwa nini walivamia nicaragua na kumteka noriega. cia and contras cocaine trafficking in the us - wikipedia, the free encyclopedia

wameshajihusisha na mabaya zaidi ya haya. Kama cia kwa kupitia huu mradi watapata hela yao nzuri na tena halali, why not? Ndiyo maana kuna wanaosema kuwa ni wa serikali na wengine ni wa cia.

Sasa usa wametoa $ 7 billions kwa ajili ya energy kwa africa. Hapo unaweza kukuta ni chama cha democrat nao wamechangamkia tenda kwa kula deal na akina rostam azziz kwa kwa sababu unaweza kukuta hizo faini tulizozilipa kwa dowans ndiyo zilitumika kwenye kampeni ya obama.

Huwa ni ngumu sana kujua na nina imani hata akija dr. Slaa kuwa rais, bado na yeye atakuta kitanzi kizito kinamsubiri. Hata kama mkifanya mapinduzi badi huo mnyororo unakuwa unakusubiri. Sema tu siku hizi unaweza kulala na wachina na ukaacha sana kuwategemea watu wa west ingawa siyo rahisi labda uwe na mafuta au gas kama kesi yetu sisi.

1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa
 
Nachangia Siasa za nje tu, za ndani siku hizi nimeacha kabisa. Hivyo kama Richmond ambayo ni maswala ya Biashara ntachangia ila nani aligombea na akakataliwa, hilo simo. SAMAHANI sintaweza kukujibu.
1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa
 
Ndugu yangu nakusifu sana kwa kusema ukweli hata mm napata shida sana na ndio maana alisema ameonewa sana katika hilo mungu yuko nae daima
 
Mwakani, 2014, CCM itaandika historia, either ya umoja wa nguvu au ya kuporomoka. Manake sasa hali inakuwa ya makundi kila kukicha. EL team against tim nyingine itakuwa balaa!
 
Mhe Edward Ngoyai Lowasa,ishara mbaya zinazomtokea katika utendaji wake katika serikali ya chama cha mapinduzina serikalini,ishara hizi mbaya zilianzia wakati alipogombea uraisi na kuonekana kukubalika katika jamii,Baba wataifa mwal.Nyerere,tunakumbuka badhi ya maneno aliyotamka kwamba Luwasa simuadilifu hafaikupewa madaraka makubwa katika nchi. utajiri wake ukitajwa hadharani(JAMII)nchi itatigisika nina amini katika jamii,wapo wazee kauli na sauti zao muungu huzipokea kwa haraka kwa mfano mwal. Nyerere alitamka atamuomba muungu atuletea hasira zake kama tutachezea Azimio la Arusha,machafuko na vurugu katika nchi hii nimatokeo ya kutojali kauli za wazee wetu katika jamii.Mwl Nyerere kauli yake kuhusu utajii wa Luwasa, mwl alikuwa mkuu wa nchi alikuwa anajuwa utajiri huo hakuupata kwa njia HALALI.Radhi hii mbaya ndiyo chanzo cha matatizo ya mhe Luwasa ,haya mambo ya mitambo ya Richmond na baadaye Dowans,kujiuzulu uwaziri mkuu wa serikali, k/kuu ya chama cha mapinduzi ilitowa tamko la kujivua gamba kwa wanaccm na viongozi wake kwa muda wa siku 90, lilikuwa inalenamlenga mhe Luwasa na watanzania hatuajuwa hatima ya GAMBA.Chama cha mapinduzi kiliwatuma watendanje wake mhe Nape k/mwenezi na katibu mkuu mhe Mkama kutembea karibu nchi nzima kufanyakazi hii ya kumchafuwa Lowasa.
 
Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza kumudu mradi mkubwa wa umeme na tena ibarikiwe na Rais wa Dunia Barack Obama na JK mwenyewe... kweli haya ni maajabu ya dunia.

Lakini inaopnyesha ni jinsi gani Mzee Six na timu yake yalivyoweza kufanya mchezo mchafu wa kummaliza kisiasa mchapakazi EL kwa ajili ya fitina, chuki binafsi na uchu wa madaraka...
tuombe uhai tukio la obama kubariki kilichoitwa haramu kuwa halali na kupewa mwendelezo mwema ni karata njema kwa EL. WATAUMBUKAJE TUSUBIRI TUONENA na ndipo tutakapomjua 'king maker' vyema!
 
Kuondolewa kwake kiasi kulichangiwa na utekelezaji wa azimio la Abuja la mwaka 1987. Ila wale waliojiita makomanda dhidi ya ufisadi walitumika kichwa kichwa bila kujua siri iliyo nyuma ya pazia.:A S wink:
Tukubaliane kuwa hakuwa na kosa, ila kulisukwa tu njama za kumtoa madarakani. Kuna tetesi nimesikia kuwa hata kanuni ya maswali ya papo kwa hapo ilitungwa ili kumkamata yeye na kumwondoa madarakani, lakini baada ya kuondoka walisahau kuifuta, sasa inamtesa sana mzee wa watu (son of farmer), kiasi kwamba anatamani kila alhamisi awe na dharura ili asiwe mjengoni.
 
Ambae anaweza akawa na uhaki wa jibu la moja kwa moja ni Lowasa mwenyewe aliyejiuzulu baada ya kujiona kuwa na makosa yamupasayo kujiuzulu na ndiyo maana alisema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hakuna alilolifanya pasipo mwenyekiti kushiriki.Kwa jinsi hiyo makosa aliyoyafanya anayajua ila hayo makosa hakuyafanya pekee yake na ndiyo maana akalazimika kujiuzulu wakati huohuo anajiona ni kama hajatendewa haki kwa kuwajibika peke yake kwa makosa yaliyofanywa pamoja na wenzake.
Hapa unataka kusema kuwa mwenyekiti alitakiwa awe ameachia ngazi siku nyingi?
 
1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005 hadi 2010 amwachie lowasa 2010 hadi 2015 na baada ya apo wafanye mzunguko kila mmoja kukamilisha miaka kumi kikatba kama rusia wanavyofanya putin na medved kufka 2008 jka akaona ikulu tamua akamtengenezea lowasa kashfa ya rchmond wakat jk ndio mwasisi wa rchmond.

2.wazri mkuu wa jk alkuwa awe sita baada ya makubaliano ya jk na lowasa ya kuungana sta akapgwa chini uwazri mkuu ugomvi wa sta na lowasa ukaanzia apo ila kwa wadadisi wa mambo wanasema bifu alilonalo sita dhidi ya kikwete ni kubwa kulko alilo nalo dhidi ya lowasa anaamini jk almsalti kwenye uwazri mkuu na kwenye uspka...
3.lakini mwsho ya yote kiongoz aliyebaki imara ndan ya ccm na mwenye ushawishi na nguvu ya kila aina yaani kijamii,kiuchumi na kisiasa ni lowasa...2015 ccm wakitaka chama chao kife wamtose lowasa waone 98% ya wana ccm wana mkubali lowasa na 80% ya watanzania wasio wanaccm wanamkubali lowasa kama lowasa
Haya nilikuwa siyajui, kama ni kweli basi huko ndani kunanuka. Mimi sio mwana ccm lakini huyu Lowasa bado namkubali kwa kweli.
 
Unajaribu kusafisha kimba!!!!!!, HALISAFISHIKI
Kamanda Gogle, Hakuna situation ambayo ni ya kudumu katika siasa. Situations zinatengenezwa na wanasiasa hivyo ni wao pia wa kuamua nani awe kimba au nani awe lulu. Leo mwanasiasa fulani naweza kuonekana lulu kesho akawa kimba au kinyume chake . Wanasiasa wenyewe ndiyo wanaoamua, wengine ni bendera fuata upepo.
 
Back
Top Bottom