wee hujawafahamu cia na ushenzi wao.
Hebu soma hii habari
cia and contras cocaine trafficking in the us na usome kwa nini walivamia nicaragua na kumteka noriega.
cia and contras cocaine trafficking in the us - wikipedia, the free encyclopedia
wameshajihusisha na mabaya zaidi ya haya. Kama cia kwa kupitia huu mradi watapata hela yao nzuri na tena halali, why not? Ndiyo maana kuna wanaosema kuwa ni wa serikali na wengine ni wa cia.
Sasa usa wametoa $ 7 billions kwa ajili ya energy kwa africa. Hapo unaweza kukuta ni chama cha democrat nao wamechangamkia tenda kwa kula deal na akina rostam azziz kwa kwa sababu unaweza kukuta hizo faini tulizozilipa kwa dowans ndiyo zilitumika kwenye kampeni ya obama.
Huwa ni ngumu sana kujua na nina imani hata akija dr. Slaa kuwa rais, bado na yeye atakuta kitanzi kizito kinamsubiri. Hata kama mkifanya mapinduzi badi huo mnyororo unakuwa unakusubiri. Sema tu siku hizi unaweza kulala na wachina na ukaacha sana kuwategemea watu wa west ingawa siyo rahisi labda uwe na mafuta au gas kama kesi yetu sisi.