Kamanda Gogle, Hakuna situation ambayo ni ya kudumu katika siasa. Situations zinatengenezwa na wanasiasa hivyo ni wao pia wa kuamua nani awe kimba au nani awe lulu. Leo mwanasiasa fulani naweza kuonekana lulu kesho akawa kimba au kinyume chake . Wanasiasa wenyewe ndiyo wanaoamua, wengine ni bendera fuata upepo.Unajaribu kusafisha kimba!!!!!!, HALISAFISHIKI
[/FONT][/SIZE]View attachment 100645
Sikutegemea wewe mtoto wa June 5 2013 hapa JF kulielewa hilo. Ukishazoea JF na kuwajua Wakongwe wa hapa na uandishi wao basi utaelewa siku moja kwa nini hiyo Video imetokea hapo. Leo nakuacha tu ubwabwaje Mwanawane. Msula eve.
Umenipa 'homework' na kujikuta naingia hapa Raia Mwema - TANZANIA NA OIC: Lijue lengo kuu la Azimio la Abuja. Hata kama hili nalo limo, naamini Lowasa bado ni mchafu na fisadi la kutupwa! Eti...alijiuzuru kulinda chama! Yaani alijiuzuru kulinda wezi! He is an accessory to the crime.Kuondolewa kwake kiasi kulichangiwa na utekelezaji wa azimio la Abuja la mwaka 1987. Ila wale waliojiita makomanda dhidi ya ufisadi walitumika kichwa kichwa bila kujua siri iliyo nyuma ya pazia.:A S wink: