Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

Vodacoma ni kampuni binafsi. Huwezi kujimilikisha hisa kinyemela.

Alphatel si kampuni tanzu ya Vodacom bali ni wakala mkuu au super dealer wa vodacom. Ana kandarasi ya kusambaza vocha nk.

Mtanzania pekee mwenye hisa Vodacom ni Rostam Aziz. Ana 17.5% baada ya kuuza hisa nyingine 17.5%.
 
Alijimilikisha toka wapi? Vodacom ilikua Mali ya serikali?
 
Muwe na akili basi Vodacom ni 100pvt kwani hawalipi kodi? kama waliibiwa sisi yanatuhisu nini?
 
Alphatel inamilikiwa na nani?....
 
Ujue mtoa mada kwa nafasi yako ya "Presidential appointee" hupaswi kuleta vitu cheap kiasi hiki! ni wivu huo huo kwa EL uliomfanya m/kiti mstaafu kumuonea wivu kisa alikua anaingiza $400000 per day ndio yeye akaja na "viettel" ..acheni ufyolo..

Wewe uko upande gani?
 
Maroboti ya Lumumba bwana,ttatizo wamepewa maagizo ya propaganda tu na kuandika upuuzi bila ya kutumia akili hata kidogo!!

Mahakama ya mafisadi itamfikisha lini kwa pilato aliyueuza nyumba za serikali zaidi ya 30000 kwa bei ya nyanya masalo tena uzunguni?!! Bado hatujauliza kile kivuko cha billion kadhaa ila mwendo wake kama guta na kuua maneno akakigawa jeshini eti mambo ya ulinzi hayahojiwi!!
 
Inaonesha huna uhakika, jambo liko nusunusu.
 
Ujulishwe nini wakati wewe unajuwa kila kitu kilichobaki peleka hiyo taarifa yako takukuru I'll hatua unazozitaka zichukuliwe na hasa ukitilia maanani Mahakama ya uhujumu uchumi mmekwisha anzisha .
 
Umegusa sehemu nyeti unahitaji usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…