- Anaanza kuongea sasa...
- Alishakaa ili aanze kuongea, kaondoka na inaelekea kama kuna jambo anaenda kuliweka sawa kwanza.
- Ilitarajiwa angeanza saa 4 kamili lakini inaelekea ataanza saa 4 unusu, waandishi wapo wengi. Atajivua gamba?
Well,
Pamoja na mwandishi wetu kumweleza umuhimu wa yeye kuongelea suala la DOWANS/Richmond kakataa katakata na kusema ataliongelea wakati muafaka na si leo.
Hebu tuambie haya maneno kaandika nani? Hujaeleweka Salma.
haye semeni nyinyi sasa, maana mnataka kumsemea? Alichopanga yeye kusema ndicho atakachosema au leo mmekosa KICHWA CHA HABARI kwenye magazeti na vyombo vya habari?,, hata mkiandika mwaka huu tutavuna bila mvua kwani hatutanunua magazeti na kuangalia Tv au Redio,, kila cku nasema watanzania ni wavivu Ben Mkapa alishasema lakini mnampuuza,, Mzee Edward R. Ongea aliyopanga kwa manufaa ya taifa na chama chako wa c ku controo nafikiri taaluma yao ipo chini hao washika kalamu.
Invisible naona huna tofauti na waandishi hao wa udaku
katika maswali yoote wewe ya Richmond ndio umeona muhim kumtuma mtu wako amuulize?
mbona hamjamuuliza kuhusu 300 milion usd alizo nazo Geneva?
acheni kutuchezea akili nyie watu
manajua fika akina kubenea watauliza maswali hayo hayo na nyie meenda kuuliza hayo hayo
Just when you think JF was different from MSM...wapi!
Haya yaliulizwa hapahapa, ndo tukamwambia aulize vilevile. Did you present your Geneva issue mkuu?
- Mwandishi wetu kamsisitizia kuwa watu wamesisitiza wanataka kujua kauli yake juu ya Richmond/Dowans/Symbio na suala la kujivua gamba ndani ya CCM, vinginevyo mkutano huu hautakuwa na maana na watu wanahisi labda umetishwa. Kajibu kuwa masuala haya atayazungumzia lakini leo si wakati muafaka, kuna wakati atayazungumzia.
- Mwandishi kamwuliza kama ametishwa, maana anaonekana kila la muhimu hataki kuongelea, kajibu kirahisi tu "SINTOJIBU MASWALI HAYO"
- Mwandishi wetu pia kamwuliza juu ya 'Uvuaji Gamba', nalo kakataa katakata kuongelea, kasema si wakati muafaka.
- Pamoja na mwandishi wetu kumweleza umuhimu wa yeye kuongelea suala la DOWANS/Richmond kakataa katakata na kusema ataliongelea wakati muafaka na si leo.
Ni kweli amesema hivyo? Siku moja itakuja kumuhukumu.Wakuu,
Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea alichoongea. Nita-update 1st post kulingana na atakavyokuwa anaongea.
Shukrani
=================
- Kuna waliofikia kudai eti namhujumu Mhe. Rais. Wengine eti nna mpango wa kumpindua kwenye Halmashauri kuu ijayo. Sina mpango wa hujuma na hata mabaya ya rais Kikwete siyafahamu.