BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 482
- Anaanza kuongea sasa...
- Alishakaa ili aanze kuongea, kaondoka na inaelekea kama kuna jambo anaenda kuliweka sawa kwanza.
- Ilitarajiwa angeanza saa 4 kamili lakini inaelekea ataanza saa 4 unusu, waandishi wapo wengi. Atajivua gamba?
Hapo kwenye red Mkuu kwanini aliondoka ukute alikwenda kupigwa mkwara na mkuu wa kaya ili asiongee alichotaka kuongea!!