Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Tunamchagua kichwa Lowassa hivyo alivyo hata mseme nini

Kamanda,pls copy hili picha sehemu kadhaa kwenye hizi social media, hawa kijani wafahamu. LOWASA ahutubie au la tutamchagua, tumemkubali. Copy.
 
Ulipo tupo, lowasa ndo rais weti
 

Attachments

  • 1442462684810.jpg
    27.9 KB · Views: 319
Yawezekana
 
hizo ni fikra zako mkuu na ninaziheshimu kwa kutumia kipengere cha democrasia ichukue mkondo wake...kupishana kimtazamo ni muhimu katika ujenzi wa nchi...nivyema mkajiandaa kuikosoa serikali ya lowassa iliiwaboreshee maisha kuliko sasa.

Nachopinga ni kushawishi watu kuwa Lowassa ndie Rais ajaye, kwa lipi? Nyinyi sio Watanzania pekee watakaopiga kura halafu mnataka kutusemea sisi wote kuwa tutamchagua yeye halafu mnaleta maswala ya Mungu Mungu, acheni hizo, wapiga kura tuko wengi, sio nyinyi tu mnaomuona anafaa.
 

Hivyo hivyo na kwa Magufuli aka ccm
 

Lowassa rais wetu
 
Jana wakati nikiangalia taarifa ya habari nilioza Lowassa akiongea kwa kigugumizi afu kuna mtu akaenda kumnong'oneza Tundu Lissu afu Lissu akaja na kusema ana ahirisha mkutano sababu jukwaa na dogo na sauti hazipo poa

Maswali yangu ni haya

1. Ni kweli hyo ndo sababu au kuna kingne nyuma ya pazia

2.kampeni za mtu mkubwa kama Lowasa hazina maandalizi na mawasiliano ya kutosha hadi mtu anafika na kutumia hela afu mnaahirisha

3.Jukwaa kuwa dogo wananchi ndo wanapanda jukwaani

4. Mwisho swali la kizushi hivi lowasaa mdahalo ataweza kweli kama kampeni tuu haongei zaidi ya dakika 10
 

Pia nimegundua kwa nini UKAWA wanashindwa kurusha LIVE mikutano yao wanaogopa kuingia gharama za matangazo bure maana mgombea wao hatabiriki
 

sasa UNALIA NINI? sisi TUTAMCHAGUA TUU.SUBIRINI BAADA YA 25/10 NDIPO MTAKAPOAMINI.chagua LOWASA .saa ya ukombozi ni sasa.achane na hao wezi.TANZANIA NI MASIKINI KUTOKANA NA UONGOZI MBOVU WA CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…