tanken
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 224
- 53
Tunamchagua kichwa Lowassa hivyo alivyo hata mseme nini
Kamanda,pls copy hili picha sehemu kadhaa kwenye hizi social media, hawa kijani wafahamu. LOWASA ahutubie au la tutamchagua, tumemkubali. Copy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamchagua kichwa Lowassa hivyo alivyo hata mseme nini
YawezekanaNasikia Kingine kilichomkwamisha huko Chantou na kumfanya achelewe ni kumkabidhi wheelchair pamoja na gari dada yake na mpinzani wake ambae alitelekzwa kwa muda mrefu akijiburuza chini.Nasikia watu walimng'ang'ania EdLowa aende akaonane na huyo dada ambae ni ndugu wa makomeo ili aelezwe unyama wa makomeo kwa ndugu zake likiwemo suala la kuwazurumu ndugu zake nyumba pamoja na kumtelekeza dada huyo kiwete pasipo huruma.Nasikia hiyo ndio ilikuwa habari ya jana huko chantou.Je hizi nyepesi kuna aliyezisikia?
hizo ni fikra zako mkuu na ninaziheshimu kwa kutumia kipengere cha democrasia ichukue mkondo wake...kupishana kimtazamo ni muhimu katika ujenzi wa nchi...nivyema mkajiandaa kuikosoa serikali ya lowassa iliiwaboreshee maisha kuliko sasa.
Nachopinga ni kushawishi watu kuwa Lowassa ndie Rais ajaye, kwa lipi? Nyinyi sio Watanzania pekee watakaopiga kura halafu mnataka kutusemea sisi wote kuwa tutamchagua yeye halafu mnaleta maswala ya Mungu Mungu, acheni hizo, wapiga kura tuko wengi, sio nyinyi tu mnaomuona anafaa.
Mapambano!!....
Teh......
JF ina watu wa ajabu sana.....Yaani unaaongea as if umeshika akili za watanzania wapiga kura wote....
Kuanza kutoa vitisho vya aina hii ni dalili ya kushindwa.....Bahati mbaya si watanzania wote watakuunga mkono na upuuzi wako huu wa 'Bora nchi ilipuke'.......Mbaya zaidi vitisho vyenyewe unavitoa ukiwa anonymous....Tena nyuma ya keyboard...
Huo mdahalo ni lini nisaidieni
...
...Rais LOWASSA
Tehe tehe tehe tehe, anajifanya hajui mada inazungumzia nini?Sawa lakini jibu swali we msomi bhna
Jana wakati nikiangalia taarifa ya habari nilioza Lowassa akiongea kwa kigugumizi afu kuna mtu akaenda kumnong'oneza Tundu Lissu afu Lissu akaja na kusema ana ahirisha mkutano sababu jukwaa na dogo na sauti hazipo poa
Maswali yangu ni haya
1. Ni kweli hyo ndo sababu au kuna kingne nyuma ya pazia
2.kampeni za mtu mkubwa kama Lowasa hazina maandalizi na mawasiliano ya kutosha hadi mtu anafika na kutumia hela afu mnaahirisha
3.Jukwaa kuwa dogo wananchi ndo wanapanda jukwaani
4. Mwisho swali la kizushi hivi lowasaa mdahalo ataweza kweli kama kampeni tuu haongei zaidi ya dakika 10
Nachopinga ni kushawishi watu kuwa Lowassa ndie Rais ajaye, kwa lipi? Nyinyi sio Watanzania pekee watakaopiga kura halafu mnataka kutusemea sisi wote kuwa tutamchagua yeye halafu mnaleta maswala ya Mungu Mungu, acheni hizo, wapiga kura tuko wengi, sio nyinyi tu mnaomuona anafaa.
Tehe tehe tehe tehe, anajifanya hajui mada inazungumzia nini?