Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
Mzee Lowassa
Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.
Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.
Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote
Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.
Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.
Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.
Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!
Iache vita hii ipite Mzee.
ushauri wa kupuuzwa huu....bora ushindwe ukiwa vitani, sio kitandani. Sisi tunataka kuona CCM ikipasuka kabla hatujaiacha dunia...na hilo mungu atatupa pumzi kuliona.
Nenda kamawambie Magufuli, na mwenyekiti...kuwa ushindi wa sijui kishindo.....HASAAUUUUUUUUU