Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mkuu muda wa kuanzisha na kusajiliwa haupo kwa mwaka huu. Ngoja wazungumze.....CCK!Si waanzishe chama chao? Yanini kujiunga na wengine wakati wao wanaamini wana nguvu na ushawishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu muda wa kuanzisha na kusajiliwa haupo kwa mwaka huu. Ngoja wazungumze.....CCK!Si waanzishe chama chao? Yanini kujiunga na wengine wakati wao wanaamini wana nguvu na ushawishi?
Namuunga mkono 100% ... JK amemfanyia Uhuni .... Mtaji anao wakutosha, Sababu anazo, nia anayo .... Hakika CCM itapasuliwa tu ...
....wakati Dr.Slaa alipokatwa jina lake huko ccm akiwa karatu aliamua kuhama ccm na kwenda Chadema...hayo ndio maamuzi magumu....Kama Lowassa kweli anaona hakutendewa haki huko ccm basi achukue maamuzi magumu....ahame chamani ccm .....aende chama anachoona kitakidhi dhamira yake ya "safari ya matumaini"...kinyume chake ni kwamba atazidi kuonekana amekwama kabla hata hajaanza safari yake ya matumaini....afanye maamuzi magumu...kama aliyofanyiwa na wenzanke huko ccm pale alipokatwa jina lake...Tunasubiri maamuzi magumu toka kwa gamba 'mamvi'....ahaaa....
Ramadhan Madabida yupo kwenye hiko kikao? ''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''
Huu ni ujumbe wangu kwa wale wote wanao dhani wanahaki sana na taifa hili kwa kutumia fedha zetu na mali zetu ilikufanikisha mambo yao nataka kuapa mbele ya Mungu alie tupa taifa hili kutoka mikononi mwa baba wa taifa hayati Mwl Nyerere nasema mbinu zenu ovu na za hatari ktk mustakabali wa amani yetu mtaenda nazo kaburini pasipo kutimia nchi yetu ipo imara na mataifa rafiki tena makubwa duniani wapo nasi kutulinda. mkumbuke wazalendo ni wengi kupita wasio na mapenzi mema na taifa hili mbinu zenu zote zipo wazi kama mtu alie uchi mbele ya watu nasema hamuwezi hamuwezi kutuaribia amani ya taifa hili watanzania tupo pamoja na serikali yetu na kama ni vita tupo tayari kuhakikisha tunakuwa na kizazi kitaogopa mambo maovu, idara zote za nchi zipo macho nasema hazilali mpaka mwisho wa taifa hili kama upo....
CCM imemlea sana lowassa (kiislamu tunaita kusitiri). Alivyoona anasitiriwa kwa kufichiwa aibu ya maovu yake aliona anaogopwa mwisho wake akataka kukipanda chama kichwani. Amepata stahili yake. Atulie atubu madhambi yake ya kuchangia kuitia nchi umasikini. Hakuna aliye zaidi ya chama.
Vipi Gwajima yupo? Maana inabidi yeye atueleze maharage anayokula sasa anaweka malimao ya wapi!Ramadhan Madabida yupo kwenye hiko kikao? ''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''
RockSpider umenena vyema. Mimi niko Geita, nguvu ya Lowassa hata huku ilikuwa ya kutisha tukiweka mbali Magufuri ni Msukuma wa Geita-Chato kama mimi japo Magufuri wakikomaa kumnadi wananchi wanamkubali hasa huku kanda ya ziwa na sio Chato maana hata mwenyekiti wa kitongoji chake ni CHADEMA.
Acha uongo ww,jipange tena
kumbe mnajua kuwa chama chenu kinaficha waovu.sasa mnafanya nn huko mbona hamtoki na kwa kila amuungae mkono muovu kutimiza uovu wake nae ni muovu,au mmeamua kwa kiburi kuwaunga waficha uovu mkono?
Ramadhan Madabida yupo kwenye hiko kikao? ''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''
Huyo sasa kwishney! Akithubutu kuhama chama ndio atakuwa amejimaliza zaidi. Wenzake wanamsubiri kwa hamu ili waanike uozo wake waliokuwa wanamfichia.
If I were Lowasa, I'd strike a deal with a very powerful opposition right now; in order to safeguard my constituency by joining their force. I'd realize how fast the tranquility of my peace is running out. I'll spill all the beans to this opposition as long as they assure me of my MP seat and spare me from punishment. ALL THIS IS POSSIBLE only if he repents and join the opposition with all of his supporters.
He has lost his war for presidential candidacy through CCM for sure, with a lot of mudslinging as if he was the only fisadi in CCM. Who is clean there anyway?
There's promising life for Lowasa OUTSIDE CCM rather staying inside with them. CHUKUA MAAMUZI MAGUMU (kama kauli mbiu yako hii haikuwa zuga).
kwani shida ni nini chukueni lowasa,sio wakati wa kuficha waovu tena na magufuli amewambia wajue wizi mwisho/rushwa mwisho.
CCM imemlea sana lowassa (kiislamu tunaita kusitiri). Alivyoona anasitiriwa kwa kufichiwa aibu ya maovu yake aliona anaogopwa mwisho wake akataka kukipanda chama kichwani. Amepata stahili yake. Atulie atubu madhambi yake ya kuchangia kuitia nchi umasikini. Hakuna aliye zaidi ya chama.
If I were Lowasa, I'd strike a deal with a very powerful opposition right now; in order to safeguard my constituency by joining their force. I'd realize how fast the tranquility of my peace is running out. I'll spill all the beans to this opposition as long as they assure me of my MP seat and spare me from punishment. ALL THIS IS POSSIBLE only if he repents and join the opposition with all of his supporters.
so atrak