Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Namuunga mkono 100% ... JK amemfanyia Uhuni .... Mtaji anao wakutosha, Sababu anazo, nia anayo .... Hakika CCM itapasuliwa tu ...

RockSpider umenena vyema. Mimi niko Geita, nguvu ya Lowassa hata huku ilikuwa ya kutisha tukiweka mbali Magufuri ni Msukuma wa Geita-Chato kama mimi japo Magufuri wakikomaa kumnadi wananchi wanamkubali hasa huku kanda ya ziwa na sio Chato maana hata mwenyekiti wa kitongoji chake ni CHADEMA.
 

swali je akienda huko Slaa atamuachia agombe urais maana lowasa yeye anataka urais?
lakini mpaka sasa Slaa pamoja na kuondoka ccm bado ndoto zake hazijatimia na hazitatimia mpaka anaachama na siasa,
so najui tatizo la lowasa ni washauri wake ndo wanamponza aswa wakina kingunge basi,
 

Ushapigana vita ipi mbipi wewe!?
 

kumbe mnajua kuwa chama chenu kinaficha waovu.sasa mnafanya nn huko mbona hamtoki na kwa kila amuungae mkono muovu kutimiza uovu wake nae ni muovu,au mmeamua kwa kiburi kuwaunga waficha uovu mkono?
 

wewe hacha uongo mm niko mwanza nguvu ya lowasa ilikuwa kubwa wakati magufuli alikuwa hajulikani,sasa hivi mwanza nzima watu wamepagawa na magufuli,wewe unasema nini,lowasa ni ndani ya cm wala sio kwingine,kamavipi aende tuone,
 
Wakuu heshima mbele..Mh Lowassa akubali tu kushindwa..life is a bitch.Naamini kabisa watanzania wengi kabisa bado wataendelea kumheshimu na kumkumbuka kama kiongozi shupavu na jasiri.abaki ccm na ajaribu kukiimarisha chama chake ambacho ndicho kimemkuza,kimemjengea jina,kimempa umaarufu na kimempa utajiri..asijaribu kuacha mbachao kwa msala upitao.Asijaribu tena kupambana na serekali.ni vita ambavyo kamwe hataviweza.Mungu ambariki kamanda Lowassa na kumpa hekima na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi..
 
Wana jamvi tunaomba kwa walio eneo la mkutano wa mh Edward lowasa na media,atujuze kinachoendelea kwani siasa siyo chuki.
 
kumbe mnajua kuwa chama chenu kinaficha waovu.sasa mnafanya nn huko mbona hamtoki na kwa kila amuungae mkono muovu kutimiza uovu wake nae ni muovu,au mmeamua kwa kiburi kuwaunga waficha uovu mkono?

kwani shida ni nini chukueni lowasa,sio wakati wa kuficha waovu tena na magufuli amewambia wajue wizi mwisho/rushwa mwisho.
 
Kuna mkutano wapi mkuu? Hz propaganga za uongo tuu Mara mkutano Mara amwekwa kizuizini mara ameennda chadema Mara ACT
 
Huyo sasa kwishney! Akithubutu kuhama chama ndio atakuwa amejimaliza zaidi. Wenzake wanamsubiri kwa hamu ili waanike uozo wake waliokuwa wanamfichia.

LOWASA Alisema hakuna alichokuwa akikifanya KIKWETE asijue hivyo wakijipanga kuanika uozo wake watakuwa wanamuanika KIKWETE pia na ukimuanika KIKWETE ni kuwa unaianika CCM, tutashukuru sana wakifanya hivyo kwani wananchi watapata picha halisi ya CCM na viongozi wake ilivyo akiwemo na MAGUFULI hivyo UKAWA kuinghia IKULU itakuwa kama kumsukuma MLEVI
 

Tutamdharau sana kama atawapigia magoti hawa watu walio mdharirisha hususani Kikwete.
 
Duh, bado mnamzungumzia lowassa? the guy is finished.inawsiwasi pia kama nchimbi, Sophia na kimbisa watapona kisiasa.
 
kwani shida ni nini chukueni lowasa,sio wakati wa kuficha waovu tena na magufuli amewambia wajue wizi mwisho/rushwa mwisho.

huo mwisho unatangazwa kwa wote au ni kwa wadogo tu.maana ikiwa ni fumua uovu na wizi sioni wa kubaki pale hata yy mwenyewe.na nnaamini hanauwezo wa kuwafumua waovu wakubwa km mjomba na mkaa hapa na mawaziri wengi waovu.sana sana ataishia kuwaonea tu hawa wa chini.lkn acha picha iendelee tuombe uzima na mungu atulinde salama
 

upo sahihi mrembo wa asili. Nimeipenda hii
 

nawashauri nendeni kwae muandamane ili aende huko anapotaka kwenda,maana naona waliokuwa wanamuita fisadi humu leo ndo wanamkaribisha kwa mbwebwe, kweli nimejua hapa ni siasa tu hakuna mwenye dhamira ya dhati juu ya taifa hili,

nawashauri hawasikilize maana na nyie ni washauri wake mbadara wa kingunge ,tuone kitakachojiri,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…