Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Safi sana
 
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Uwe na adabu ,shenzi wewe,wazazi wako na ukoo wenu
 
Kila nikimuona Lowasa wa 2015 na huyu wa leo nagundua chadema ni mashoger na malayer wa siasa. Haiwezekani chama hakina msimamo wala misingi kinachoiamini na kuisimamia.
 
Mbona nyinyi ACT mlimbembeleza pia aje kwenu?
Mkuu The Boss
TANMO ni mwanaharakati huru. Hanaga siasa za Uchama na wala hafungamani na Chama chochote cha Siasa.

Ujio Wa Lowasa Chadema ulitufanya wapenzi Wa harakati kukatishwa Tamaa na kupoteza imani kwa Chama ambacho kwa wakati ule kilibeba matumaini makubwa ya Watanzania.
 
Naku mix sana na Yule lawyer wa ACT alierudi CCM
 
Nyie ni wajinga na mtaendelea kuwa wajinga, sasa ivi naskia mnajiandaa kumpigia deki membe
 
Wallah ni kweli; kama hujafa hujaumbika. Kwa nini Lowasa anadhalilishwa hivi na kiasi hiki? Pengine hana watoto waliosoma wamshauri kutojidhalilisha kufikia hatua hii? Isitoshe muda wake wa kuishi umebaki kidogo, anaangaika na nini hadi ajidhalilishe hivi na kiasi hiki? Hakika, genuinely, nimesikitika sana!
 
Haya wale nyumbu wa kupig deki tukuane hapa safari hii tunapiga deki na sanitizer kabisa kwa mkuu wetu JPM,DAWA na sabuni ZIPO LOWASSA NAE ATACHANGIA.

Safari ya deki ni kutoka Dar mpaka Chamwino Dom MkALE NYAMA kidogo si viroba tu ,na ngombe analeta huyohuyo aliyewapa viroba.
 
CDM ina "marais wa mioyo wastaafu" wawili tu hadi sasa, Dr Slaa & Mamvi.

Huyo Mzee alikuwa jogoo la kukodi,likimaliza kidinya na mtetemea kuatamia linarudishwa kwao.


 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…