Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
anapata kwa marafiki zake......hao marafiki ndio wanampa hizo pesa........
ndugu wana-jamvi.
ninaomba kwa ishma na taadhima nidadis kidogo ili kupata kujuwa, japo kiduchu. huyu mzee hana biashara yoyote ambayo ni reputable, namaanisha hana kiwanda, hana vitega-uchumi vinavyotambulikana na kila mtu kama vile:
Bwana Yusuph Manji (Quality Group)
Bwana Reginald Mengi (IPP, Bonite)
Bwana SSB 'Bakhressa' (AZAM)
Mohamed Dewji (MeTL)
hao niliowataja hapo juu nikisikia 'ametoa milioni mia moja kwa kikundi fulani au kwenye harambee' sipatwi na shaka yoyote kwa sababu wana biashara zinazoeleweka. asa huyu mtu anayeitwa waziri mkuu mstaafu anapata wapi hayo mahela?
kama mTanzania nina nia, sababu na uwezo wa kujua.
Pasco lazima ajitokeza kwa sababu Lowasa alimsaidia sana siku alipopata matizo ughaibuni. Lowasa ana miradi mingi (overt and covert) yenye kuchurn out pesa nyingi kuliko hao uliowataja kwa pamojanilijua Pasco utajitokeza. em funguka kidogo kuhusu miradi ya bosi wako. miradi yenye hadhi ya nyota 5 a.k.a 'Reputable'
siyo miradi ili mradi tu
Siyo bosi wangu!. For the past ten years, I've been my own boss!, situmwi na mtu wala simtumikii mtu bali huyu jamaa namkubali sana kwa uwezo wake! ambapo ndani ya CCM, he is the one and only anayeweza kuinusuru na tsunami ya 2015!.nilijua Pasco utajitokeza. em funguka kidogo kuhusu miradi ya bosi wako. miradi yenye hadhi ya nyota 5 a.k.a 'Reputable' siyo miradi ili mradi tu
simsupport kwa sababu alinisaidia, bali huyu jamaa namkubali sana kwa uwezo wake, uchapaji kazi wake, na uwezo wa kuchukua maamuzi magumu bila kumungunya maneno, kama alivyowatimua City Water, na kile kitendo cha kishujaa sana kwa kukubali kulibeba zigo la dhambi ya Richmond ili kina fulani waokoke!. Ni kwa kuteswa kwake wao waliponywa!.Pasco lazima ajitokeza kwa sababu Lowasa alimsaidia sana siku alipopata matizo ughaibuni. Lowasa ana miradi mingi (overt and covert) yenye kuchurn out pesa nyingi kuliko hao uliowataja kwa pamoja
Pasco lazima ajitokeza kwa sababu Lowasa alimsaidia sana siku alipopata matizo ughaibuni. Lowasa ana miradi mingi (overt and covert) yenye kuchurn out pesa nyingi kuliko hao uliowataja kwa pamoja
Kila anapochangia...anasema yeye hana pesa ila amechangiwa na marafiki zake.Haya huwa anayazungumza anapokuwa anatoa mchango wake wa fedha nyingi sana kwenye vikundi.
Watanzania hizo ni pesa zenu ambazo zilikuwa zimeibiwa sasa zinarudi na ninacho waomba mzipokee kwa mikono miwili lakini mnajua wp mtatoa kura yenu lakini kama mtaafanya makosa kumpa kura mtu ambaye ameleta pesa kwenu ila apate kura madhala yake ni makubwa sana.
Wafanya biashara ni marafiki zake na hao ndio wanao pambana kumweka madarakani je atawalipa nini akishakuwa rais?
Mkuu utakua humtendei haki Pasco unaposema kua anamtetea Lowasa kwa sababu amewahi kusaidiwa na EL. Ikiwa hivyo itabidi wengine waamini kua wanaompinga EL nao kwa njia moja au nyingine wamenufaika na wapinzani wa EL.