Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

naona umeamua kukisemea chama leo.

sie ndo tnaokijua. kunja miguu uswali.

haya tuachie wenyewe.
Mmawia
 
Last edited by a moderator:

Tatizo la ccm siyo mgombea,tatizo la ccm ni la kimfumo
 
mbona humshangai mwalimu aloiasisi hiyo kauli tena akaenda mbali zaidi kuwa ccm sio mama yake. lowassa anasema kweli wana cccm tunataka mabadiliko ndani ya chama kama viongozi wachache hawataki hayo nabadiliko basi tutayatafuta nje ya ccm hatuko tayari kuona watu wanataka kurithishana uongozi kwa sababu zao binafsi hiyo si kazi ya viongozi ni kazi ya wanachama lakini edward lowassa akasisitiza na ana imani mabadilko hayo atayapata ndani ya ccm mkisikiliza sikilizeni vizuri
 
UKAWA wakatae dhahabu...!!? Hujaona bungeni wabunge wa UKAWA NDIO WA KWANZA kuwahi zile posho mamilioni 230 kwa kila mbunge..hakuna naliyepinga...wako kimyaaaaaa...

Sasa wamkatae Lowassa...!?

Jitekenyeni wenyewe na mkenuliane wenyewe
 
Jamani sio ataondoka ccm yaani hawataichagua ccm watamchagua kiongizi wa chama chochote, yeye alishasema asiempenda ccm aondoke.
 
Hivi ni chama gani kitakataa kumpokea mtu anayekubalika kiasi hicho kwa wananchi? Hii kitu ya ufisadi kwa Lowasa inaonekana haifanyi kazi. Ukawa watakuwa wajinga kabisa km wataacha kupokea huu mtaji mkubwa namna hii wa kura. Tunachotaka ni ccm kuondoka madarakani kwa njia halali au zisizohalali! mambo mengine tutayarekebisha tukishachukua nchi. Chonde chonde ukawa Lowasa akija msiache kumpokea. na hilo likitokea chukueni mpaka kina zitto tuchukue nchi kwanza mengine tutawekana sawa baadAYE. hIZI NDIO NJIA ZINAZOWEZA KUKIANGISHA CHAMA TAWALA.
 
yeye lowasa anadhani urais ni wa kununua. mwaka huu huenda ukawa ndo mwisho wake. ngoja tusubiri hiyo July
 

lowasa nakuonya. uache vitisho. jina lako lazima likatwe. tafuta makaburi ya kuwa rais.
 

madhara yake yatakua makubwa kuliko faida giza na mwanga havikai pamoja
 
Hiyo mbinu mliyokuja nayo ya kutisha ccm sijui kama itasaidia kumuokoa huyu fisadi mkuu. Subirini tu apewe kichapo ndiyo utakapogundua kuwa hakuna aliye mkubwa kuliko chama
 
Unalipwa sh.ngapi kumsafisha huyu mchafu mwenzako?


Wee unanuka njia ya haja kubwa ndio mchafu...!!! kajiswafi, huogi miezi..!! Lowassa is well ahead of the game... cheki leo Songea rekodi nyingine anaweka...!!!
 

Mkuu, maisha yakoje kwa wengi??? Hivi si haohao CCM wamekua wakipiga kelele bungeni wakisema CCM imefanikiwa kuwapa maisha bora waTanzania huku wakiunga mkono hoja 100%??? na huyu unayempigia chapuo akiwa humohumo??? Hayo mabadiriko yameshindikana kwa miaka 50 na yeye akiwemo, leo anakuja na mbinu gani alizoshindwa kuzitumia au kutoa mchango ndani ya chama chake???
 
lowassa cku atakayokatwa ccm itakufa kifo cha mende kwa sababu anasiri nyingi sana ccm itakua imejiharibia apo pia kwa hali iliopo lowasa kukatwa ni ndoto wakubali tu utaona wanafiki watakavyojipendekeza na waliomsema vby wote watapoteana wasione pa kujificha maana kama magoli ameshafunga kama ronald na messi anasubiri kombe tu ila UKAWA inamngojea inameza mate utazan simba amemuona swala aingie kwenye kumi na nane akamate koromeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…