cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 218
Lowassa akiwa Mkoani njombe amerudia kauli ya baba wa taifa"amesema"wananchi wanahitaji mabadiliko,wasipoyapata ndani ccm watayatafuta nje ya ccm"
My take:Kwa kauli hii ni wazi kabisa ccm wakimkata lowassa yupo tayari kwenda kuyatafuta hayo mabadiliko nje ya ccm
Nje ya Ccm ni wapi?Ukawa hawawezi kumpokea,Kachafuka sana,ukawa ni sehemu ya watu safi tu.
Nadhani yale yasemwayo kuhusu ACT wazalendo na lowassa yanaenda kutimia before octoba
Source:Itv Habari
Awadanganye watoto tu kwani yeye si alikuwa waziri mkuu alifanya nn kwani zaidi ya kuiba??????