Nimekuwa nikiyasema haya kabla ya kauli ya lowasa ya leo.Nilisema kuwa,Lowasa hana washauri makini na wenye waledi..wapambe wake wakakataa!.Nilisema kuwa lowasa alipokuwa singida alisema kuwa "asipopata urais akiwa ccm,taupata urais nje ya ccm"..wapambe wakasema mimi ni team makongoro/membe/sitta.Nikasema uwezo wa lowasa ni mdogo kiuongozi na upeo wake wa kuchagua maneno ni mdogo sana hata uenyekiti wa mtaa hawezi,wapambe wakasema ninachuki binafsi.Nikasema kuwa kauli za zitto na lowasa zinalandana..wakati zitto yupo chadema,wapambe wake wakaniita mimi ni ukawa.Sasa nasema tena:LOWASA AKIWA RAIS siku moja atasema hivi"KAMA GESI NA URANIUM HATACHIMBA ROSTAM,BASI ATACHIMBA KARAMAGI"...HAFAI KUWA RAIS WA TANO WA TANZANIA,BORA MTIKILA KULIKO YEYE!!!!...?????