[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Kigezo
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Jaji Agustino Ramadhani
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Edward Ngoyayi Lowassa
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Umri
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Miaka 70
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
62
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Elimu
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Elimu ya juu ngazi ya shahada
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Uzoefu wa kazi
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa mahakama
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa serikali na bunge
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Uadirifu
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Kazi alizofanya
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Jaji, mwanajeshi, mchungaji
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu.
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Historia kazini
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Kugombea urais
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Ameombwa agombee tena ameombwa sana
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono
[/h]
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Afya
[/h]
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Afya yake ni imala sana
[/h]
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"]
[h=1]
Afya ni mgogoro mala nyingi huenda Ugermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimikiki kwa mda mrefu
[/h]
[/TD]