Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Benard Jakaya Membe anatapatapa hajui afanyalo. Mara atumie jina la JK, mara atumie kaburi la Baba wa Taifa, mara atamwunga mkono Mwandosya, mara ajipendekeze kwa Makongoro!

amenisikitisha sana bernard
 
Eeeh, Mungu ukisema ww nani mwingine atapinga..!!? Hakika hakuna..!!

Tunakupa sifa na utukufu kwako kumleta mwanao wa pekee, na hata ukatupenda watanzania na CCM yetu, ukatuletea Lowassa kwa wakati sahihi...!!!

Mungu na mapenzi yako yatimizwe Duniani na hata Mbinguni...!!! 🌈🌈🐒🐒🐒🐒
 
Hayawi hayawi mwisho yamekuwa. Ule usemi unaosema chanini mwenzio anasema atakipata lini ndio umetimia. Na leo ndo nimeamini Chanda chema huvikwa pete.

Hakika wale wageni wa siasa inabidi waamini usemi wa kwenye Siasa, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.

Nawatakia kila la kheri.
attachment.php


Magazeti ya Bongo bana, Usipokuwa makini unaweza soma kitu ukaelewa vingine yaani unauziwa mbuzi kwenye gunia. Nafikiri wanafanya hivi ili yanunulike. Nimeanza kwa kuandika hivi ili wanaJF mtambue janja ya Magazeti yaliyo kwisha wekwa Mfukoni mwa Mafisadi. Huu ni mfano tu au hints ya jinsi ya magazeti ya bongo yanavoishi kwa ujanja ujanja, yapo mengi ya aina hii.

Bila kuitaja UKAWA wanajua kabisa haliwezi nunulika.

Hebu jenga picha ya Title la Kazeti ambalo liko hivo hapo juu na hayo maneno halafu ndani Ukute imeandikwa hivi;

"Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, amesema Wanamtaka Lowassa hata leo aje Wapambane nao. Nakuhakikishia UKAWA tutashinda saa Sita mchana."

Naamini gazeti utalitupa muda huo huo. Nimeandika hivi ili Wahariri wajifunze kutowapotosha watu na sisi tunao nunua magazeti tuwe makini, tusikimbilie kununua sababu ya kichwa cha habari kinacho kufurahisha, wala usihukumu gazeti kwa kichwa cha habari.

Kwa ufupi Wahariri wa Tanzania, Mnadharaulisha taaruma yenu, ndo maana hampati tuzo za Kimataifa. Mnatumikia Matumbo yenu.

Watanzania wa sasa sio wa Miaka ile.

Je, Kichwa cha habari kama mungeandika UKAWA hawamuogopi Lowassa, wanamtaka aje wapambane kwenye mbio za urais hata leo Mungepungukiwa nini?

Wahariri Mnatia aibu.
 

Attachments

  • lowassa.png
    lowassa.png
    101.9 KB · Views: 495
Mpango wa Mungu nani wa kuzuia..!!

Asante Mungu baba, UKAWA wanajua pia...!!!
 
kijana wetu ndani ya chama cha mapinduzi bwana Paul Makonda akiwa na ujasiri wa kukemea vitendo mambo haya yanayofanywa na baadhio ya viongozi bila uwoga wowote naomba tuchukue fursa hii kumpongeza sana kijana huyu.
Nadiriki kusema nampongeza kijana huyu hasa kwa kauli zake nzito na za kijasiri kwa maslahi ya chama changu cha CCM ili chama kiendelee kupendwa na kuchaguliwa na watanzania.
Pia itakuwa si busara kama sitawapongeza vijana wangu katibu mkuu wa chama ndugu ABDULRAHMAN KINANA na NAPE NNAUYE kwa juhudi zao za dhati za kujenga chama na kuendelea kuwaeleza wananchi juu ya misingi bora ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuwakemea viongozi wasiofaa bila kujali cheo na umaarufu wao ndani ya chama na serikali, nawaomba waendelee -na juhudi zao hizo nami naziunga mkono juhudi zao na kama kuna watru wanaowabeza naomba wasijali kwani kukemea viongozi wasiofaa ndani ya chama na serikali ni msingi wa chama chochote kilichounda serikali.
Aidha nawaomba watanzania wenzangu wazalendo wasikubali kukatishwa tama na kikundi cha watu wachache wasio na mapenzi mema na taifa letu ambalo limekuwa mfano wa kuigwa kwa amani, upendo, utulivu na mshikamano urithi tulioachiwa na baba yetu wa taifa mwalimu julias kambarage nyerere ndani na nje ya mipaka ya bara letu la afrika.
Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwaambie kuwa msemaji wa UVCCM kijana wetu Paul Makonda namuunga mkono kwa -kitendo chake cha ujasiri cha kumkemea ndugu EDWARD NGOYAI LOWASSA bila uwoga kwa jinsi anavyokivuruga chama chetu kwa lengo la kutaka urais 2015 huku secretariet ya chama ikiwa imekaa kimya wakati inajua kuwa muda wa kuanza mbio hizi bado na kufanya hivi kwa sasa ni kukiuka misingi na katiba -ya chama. Hapa najiuliza kuwa ile misingi imara ya uongozi ndani ya chama chetu cha mapinduzi iko wapi? Mpaka tumuachie mototo ndio akemee haya? Je, hapa chama kiko wapi?
Ukweli ni kwamba wanachama wetu na vijana wamekuwa njia panda huku wakitamani kusikia tamko au karipio la chama juu ya suala hili la harakati za urais 2015 bila mafanikio.
Naomba niseme kuwa bila kuwa na karipio au tamko la chama, hawa wanaotumia pesa zao hadharani kwa lengo la kutafuta umaarufu na ushawishi kwa vijana ili kupata madaraka wanaharibu misingi yetu bora ya uongozi iliyowekwa na waasisi wetu ndani ya chama.
 
Hahahahahahaaaa nataka this time tuweke records vizuri ili in 2016 na kuendelea tusije tukalaumiana, oogh chaguo la MUNGU kumbe chaguo la Wanadamu. Sijui tumerogwa na nani aiseee, nitakua wa mwisho kuamini akili za baadhi yetu kuwa zina mtindio
 
Mungu akusamehe


Mungu, mtu wako huyu anaangamia kwa kukosa maarifa.... mchukue leo hii hii hajui alitendalo hapa duniani...!!! Anashindana na ww Mungu uliyemuumba, muonyeshe ww ni Mungu...sasa hivi...!!!
 
Mkuu unatumia nguvu sana, kunani??

Masaa kadhaa tu ushapost nyuzi zaidi ya 3 za huyo bwana..
 
Pumbafu,peleka huo ujinga wako kwa mkeo


Mungu our heavenly father, huyu mwingine... mpe haki yake, ajue hakika ww ni Mungu, hawa watu bila ACTION wataendelea kukudharau Mungu... mpe haki yake haraka sana...!!!🍁
 
team fisadi at work...ukawa wamesemaje!? wapi!? nani kasema na kasema nini!? unawaza tumbo tu!
 
Back
Top Bottom