Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Wewe Kumbe Ndiyo Unalijua Hili Leo? Fuatilia Kwa Umakini Sana Hata Wakati Lowassa Anatangaza Nia Ni Watu Wa Mikoa Gani Miwili Walikuwa Wanamtetea, Kumbemba, Kuhimizana Na Kumpamba? Ni Mikoa Ya A Na K Na Hao Kwa UKABILA Na KUBEBANA Hawajambo Hapa Nchini Tanzania Bora Hata Ya Watani Zangu Wahaya.
kwa bandiko hili huna sababu ya kuaminika,
 
Hasira za wananchi kwa richmond, tegeta escrow lazima wataziamishia huko chaedema na ukawa, watakuwa wajinga sana kumpokea lowasa na hakika upinzani utakuwa umejimaliza wenyewe kama zito kabwe
Yaani hapo umegonga kwelikweli 100%, isitoshe akihama ccm tu kesi zake zote zinafufuliwa. Akumbuke yule mwenyekiti wa ccm aliyehamia cuf na kushindwa ubunge, baada ya hapo akaambiwa biashara zako hujalipa kodi hivyo unadaiwa mamilioni, wiki iliyofuata akaambiwa nyumba yako iliyo mwanza iko barabarani - isogeze etc, Mbona alirudi ccm kwa kupiga magoti!
 
Page ya 5 sijaona Afisa Habari yeyote au mtu wa karibu kukanusha habari,hizi!!silence means YES,sitaki kusimuliwa nasubiri mwenyewe kwa macho yangu maajabu haya.Ila tu nataka kusema kama kweli ipo hivyo,sasa Chadema malengo yetu kuingia ikulu ni nini?

Huwa SIBAHATISHI Mkuu Na Najiamini 100% Kwa Hii Breaking News Yangu Na Hata Hivyo Kuna TUVITUVITU Vingine Sijawawekeeni Mvijue!
 
Katba inasemaje ktk hili :what: I gues mtu awe mwanachama wa chama cha siasa walau kwa miezi 3 kabla hajagombea urais. Sina uhakika kama hakipo inabidi tukiweke kwenye katiba mpya kuondoa ujinga wa dizaini hii tunayoiona
 
atalipa vipi vipi hizo tax zote alizorundika bill yake itakuwa Tshs: 100billion asipolipa jela. ndo utakuwa mwisho wake.
 
Hatutaki kukudharau lakini, najua umetumwa kuwatatiza CDM. Sawa kabisa, ila naamini kuwa Lowasa anaweza kuhamia CDM kama jinsi ambavyo hata JK anaruhusiwa kuhamia. Lakini, hawaji kutumia CDM ili kuomba kupeperusha Bendera ya UKAWA.
Sababu; Kwanza alikataliwa ccm kwa sababu ya ufisadi wake. Pili. Alishachelewa kuhamia, nafasi ilitolewa toka mwanzo akachelewa. Tatu, UKAWA mbona wana viongozi matata sana wa kumsumbua sana huyo Pombeee.
Usiwazuzue sana wananchi, ngojea kikinuka kinuke chenyewe, wala usikinukishe
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeee GENTAMYCINE ni kiboko kwani aliowataja wote ni kweli wanahusika hasa na Lowassa kwani alipomalizia na Aloyce Tendewa km ni Mlinzi wake nimeamini yote kwani huyu Bodyguard alisababisha madeni makubwa hapa mtaani Dodoma kwenye maduka kwa kukomba vifaa kwa jina la Lowassa
na huyu kamaa ni CCM damu naona amaeona kuliko kwenda CDM bora apumzike
kweli Mzee wangu Mtei unaiua hivihivi CHADEMA kwa kumpokea Fisadi ni hizo 50Bn au ukabila wa hapo Meru?
 
Mkuu ilikuwa rahisi kwa Dr. Slaa kwa vile hakuwa na link kiasi hicho na CCM. Lowasa ma-deal yake aliyopiga na akina Rostam na Karamagi kwa mgongo wa CCM ambayo hadi leo anavuna mabilioni ya pesa kila mwezi atathubutu kufanya hivyo? Akidiriki hawakawii ku-freeze na akaunti zake za benki, period.
Tena bora asitoke huko chama chake watamumaliza. Kuna mmoja Ali wa betray haikuisha account zote zikafungiwa. Anything can happen may be alijipanga. Ila time will tell.
 
kitendo cha kingunge pia kuongea leo ni kiashirio kingine,ndo maana pia kasema kuwa yeye ni mwanachama wa ccm no 8,na kama ataamua kutoka ccm atawambia kama ataamua.

ni wazi kuwa wazo la kutoka lipo ndo maana kina mbatia wameongeza siku tano za kumsubili lowasa.
na ndo maana pia lowasa hataki kuongea yuko kimya.



Nashukuru Mungu Siku Hizi Elungata Unanielewa Na Tunaenda Sawa Na Sawia. Wacha Watu Waneng'eneke Humu ILA Habari Ndiyo Hiyo.
 
Last edited by a moderator:
tena mwambie itaendelea milele na milele.
jifanye umeshindwa japo umeshinda ili jukwaani tutambue busara ba hekima zako kwani kujibizana kusiko nq tija kunatufanya nawe tukuweke kundi moja na wao!
C.c
pasco,tumain makene,mwanadiwani,mzee mwanakijiji.
 
Mtoa Mada Ni Mpuuzi Wa Mwisho.Mod Ebu Tuondolee Huu Upuuzi Uliojaa Mawazo Ya Kufikirika
 
Ikitokea Lowassa kahamishiwa sio kuhamia Ukawa basi nasema mimi nitakuwa mmoja wa watu watakao jiondoa kwenye chadema mapema.Ninaamini na nitaendelea kuamini kuwa Lowassa hafai kuwa wala kujaribu kuwa mgombea wa urais nchi hii. Akijaribu itakuwa mwisho wa Enzi yake. Litabaki jina. Chadema itapoteza juhudi zote tulizokwisha zifanya kujenga chama hiki. Tulimpinga na kumwita fisadi. List of shame mentioned by Tundu Lissu and Dr Slaa was included. Today is Clean?? No way. If this information is true then Chadema is going to loose a huge group of supporters. Lowassa is not clean to stand for presidential post in this country.
My last word is this;Lowassa can't go out of CCM.
 
As for now, maamuzi magumu lazima yafanyike ... Hakuna ubishi kabisa kuwa cdm ndio wanaokubalika sana upande wa bara ... nadhani model rahisi ni ile waliyotumia upande wa zenj, bila kupunguza neno waifuate ile ile ila kwa sasa upande wa bara ...
 
Kwani ni ajabu Lowasa kujiunga CHADEMA??
Alijiunga Dr Slaa toka CCM,wakampokea,
Mtei mwenyewe alikuwa CCM,sasa nani
alikuwa KANU hapo??
Acheni utoto,
tena dr Slaa pia alijiunga akiwa amekatwa siku hiyo hiyo akahama. wacha ahamie tu kwa kweli
 
Moderator Mbatia ashatoa toa tamko kwa niaba ya Ukawa.Cuf leo wametoa Tamko kuhusu uzushi na uvumi uliokuwa unaendelea,baada ya kikao cha jana.
Futeni huu uzushi hauna tija,La sivyo muwe wavumilivu kwa kila uzushi utakao bandikwa hapa.
Cc Invisible

Mkuu huu uzushi naona moderator wameamua kuuwekea lebo ya unconfirmed instead ya kuutoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom