Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM


Awadanganye watoto tu kwani yeye si alikuwa waziri mkuu alifanya nn kwani zaidi ya kuiba??????
 
Lowassa ameshaona dalili ya jina lake kukatwa hivyo anawaandaa kisaikolojia wafuasi kuwa anapanga kuhama CCM.

Tatizo ametumia hela nyingi mno hivyo hawezi kukubali zipotee hivi hivi bila adhima yake kutimia.

Lazima ana mashushushu wake wanaosoma mwelekeo wa upepo ndani ya chama, na kama hali inakwenda vibaya lazima maandalizi ya kumwaga mboga yaanze mapema. Hakuna mtu anaweza kupoteza pesa nyingi kiasi hicho abaki akifurahia jina lake likikatwa hata kama ni billionaire.
 

Wamkate mara ngapi?
 

Alisema atahamia ACT
 
Lowasa haendi ukawa bali anaenda chadema ukanda na ukabila kuzingatiwa.
 
Mwaka huu tutashuhudia mengi,wakat ccm wanaparangana kule ukawa wanashikamana!..had nguvu ya kuhujumu ukawa itaisha alafu octoba 25 tunatanga ushindi saa nne asubuhi
 
Kibaka ni kibaka tu!
 
Hiyo ni kauli ya baba wa Taifa, yeye amem-quote tu.

Unafikiri ana maana gani katika ku quote huko? Mwalimu Nyerere aliongea kauli nyingi sana, kwanini Lowasa kaichagua hii na tunaambiwa alii quote hata siku alipotangaza nia.
 
Kwani kukatwa kwa Lowasa kunahitaji kuwa na shushushu? Mbona yeye mwenyewe anajua kuwa ni mchafu lazima akatwe.
 
Lowasa haendi ukawa bali anaenda chadema ukanda na ukabila kuzingatiwa.

Hivi kumbe zitto ni mchaga?
Aisee nashukuru kwa kunifahamisha
Na EL naye ni mchaga?
Nilikuwa sijuwi ndio nimejuwa kupitia wewe.
 
Kama ana ubavu wa kumuenzi baba Wa Taifa basi afanye kwa vitendo yale yote yaliyosemwa juu yake, ..Mwalimu alimuuliza utajiri wake aliupata wapi sasa atujibu pia
 

Ukawa wanausafi gani ? Stop pointing finger na kulisha watu maneno !
 
Wakati akiwa Arusha, kutangaza nia, alimkariri Nyerere akisema, watanzania wanataka mabadiliko, na wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje ya CCM. Leo tena kairudia. Ni dhahiri, Lowassa akitemwa CCM, atakimbilia upinzani.

Huo ndio utakuwa mwisho wa ccm hapa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…