RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Siamini ng'ooooooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona simuoni Ben Saanane akitupa msimamowake yupo #TeamMbowe au #TeamSlaa
Hizi post ndio zinashusha heshima ya JF.Mods mnaachaje huu puuzi?Upotoshwaji wa.kiwango kikuu.
CC
Moderators
Uchafu wa Lowassa hauvumiliki. CHADEMA itanuka wakimpokea Lowassa. Hata kama Sitta alikuwa na matatizo wakati wakiwa tayari kumpokea hapo mwanzo lakini alikuwa hajanuka kama Lowassa
Mkuu wewe sio upinzani kwani?Unaongelea sana ACT hapa jukwaani nikajua upo upinzani!Ukawa mjiandae kisaikolojia.
Kwani 90% huyo jamaa anakwenda ukawa, aliyebaki kuokoa jahazi ni JK,na Kwa nature ya jamaa hilo halitatokea.
Husema mafahari wawili wakikutana.., nyasi zinaumia..., CCM is being torn apart by the very best it has produced in the past 20 years.
Upinzani kazi kwenu sasa. This is your golden chance.
Hii nakala ziwafikie Mzito Kabwela respect wa boda Tabby Mmawia Emma OKW BOBAN SUNZUSiasa wakati wa uchaguzi ni kama vita, wakati was vita tunatumia silaha kubwa inayoweza kumuangamiza adui kwa sasa ni lowassa akiingia upinzani tutajua mengi sana toka CCM
Mkuu sioni jinsi Lowasa anvyo weza kuitosa ccm.Ukawa mjiandae kisaikolojia.
Kwani 90% huyo jamaa anakwenda ukawa, aliyebaki kuokoa jahazi ni JK,na Kwa nature ya jamaa hilo halitatokea.
Husema mafahari wawili wakikutana.., nyasi zinaumia..., CCM is being torn apart by the very best it has produced in the past 20 years.
Upinzani kazi kwenu sasa. This is your golden chance.
Mkuu wewe sio upinzani kwani?Unaongelea sana ACT hapa jukwaani nikajua upo upinzani!