Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Hapo ndipo tutajua kuwa wanasiasa wa Tanzania ni vichwa panzi wakutupa,hawa akina Lowassa si ndo walikuwa dhima kuu ya Mwembeyanga?leo apokelewe Chadema tena kwa lipi jipya atakalokuja nalo
 
Uchafu wa Lowassa hauvumiliki. CHADEMA itanuka wakimpokea Lowassa. Hata kama Sitta alikuwa na matatizo wakati wakiwa tayari kumpokea hapo mwanzo lakini alikuwa hajanuka kama Lowassa

Ajabu wanaopinga Lowasa kwenda CHADEMA wote ni CCM. Hivi mapenzi hata mapenzi CHADEMA yameanza Linamsaada?
 
Ukawa mjiandae kisaikolojia.

Kwani 90% huyo jamaa anakwenda ukawa, aliyebaki kuokoa jahazi ni JK,na Kwa nature ya jamaa hilo halitatokea.

Husema mafahari wawili wakikutana.., nyasi zinaumia..., CCM is being torn apart by the very best it has produced in the past 20 years.

Upinzani kazi kwenu sasa. This is your golden chance.
 
Siasa wakati wa uchaguzi ni kama vita, wakati was vita tunatumia silaha kubwa inayoweza kumuangamiza adui kwa sasa ni lowassa akiingia upinzani tutajua mengi sana toka CCM
 
Lowassa akihamia Chadema kura yangu ni kwa ccm tu, kuanzia diwani hadi Rais.

Nakuunga mkono Dk.Slaa bora uachane na Chadema tu, ili kulinda heshima yako.

Watu tumeiamini Chadema bila Lowasa iweje leo muamini Lowassa ndio wa kuwavusha, Tatizo wanasiasa ni tamaa ya madaraka.

Na Lowassa akijiunga Chadema atakuja na mamluki kibao na huo ndio utakua mwisho wa upinzani imara Tanzania.

Kabla ya yote Mbowe na Chadema wamsafishe Lowassa kwanza kuwa huko ccm ameonewa na ni mtu safi na hausiki na Richmond.

Wanasiasa muache kutuchezea watanzania.
 
Ukawa mjiandae kisaikolojia.

Kwani 90% huyo jamaa anakwenda ukawa, aliyebaki kuokoa jahazi ni JK,na Kwa nature ya jamaa hilo halitatokea.

Husema mafahari wawili wakikutana.., nyasi zinaumia..., CCM is being torn apart by the very best it has produced in the past 20 years.

Upinzani kazi kwenu sasa. This is your golden chance.
Mkuu wewe sio upinzani kwani?Unaongelea sana ACT hapa jukwaani nikajua upo upinzani!
 
Hivi Mbowe ndiye anayechagua mgombea urais wa UkAWA? Am I missing something!
 
Hicho kitu napingana nacho tena haitatokea kitu kama hicho na kama itatokea basi upinzani utakuwa umejidharau nyie tu tulieni mkubali yaishe
 
Upuuzi mtupu, hii sheria ya makosa ya mtandaoni inasubiri kutumika kwa chadema tu, hili jitu sijui limelewa fedha walizokuwa wanagawana kule Dodoma? Maana mijitu inakurupuka tu. Eleweni wazi msimamo wa Chadema ni upi halafu ndo mje na uzushi wa kitoto
 
mmh,, wabongo kwa kusherehekea mifarakano hawajambo, wakiskia watu wanaungana na kuwa kitu kimoja wananuna.! Ngoja tusikilizie
 
Ukawa mjiandae kisaikolojia.

Kwani 90% huyo jamaa anakwenda ukawa, aliyebaki kuokoa jahazi ni JK,na Kwa nature ya jamaa hilo halitatokea.

Husema mafahari wawili wakikutana.., nyasi zinaumia..., CCM is being torn apart by the very best it has produced in the past 20 years.

Upinzani kazi kwenu sasa. This is your golden chance.
Mkuu sioni jinsi Lowasa anvyo weza kuitosa ccm.
 
Mkuu wewe sio upinzani kwani?Unaongelea sana ACT hapa jukwaani nikajua upo upinzani!

Sikujua tunakuwa boxed kwenye imani za vyama, kukusaidia mimi sio mpinzani, pia sio chama tawala. mimi mtanzania.katika wale wasiokuwemo kwenye milioni 6 wa CCM na milioni kadhaa wa upinzani. CCM wametuboa, Upinzani game yao haieleweki.

Tumeelewana?
 
Back
Top Bottom