Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Lowassa kawa lulu kwa Chadema mara moja hii! Kweli siasa mchezo mchafu.
 
Jamani katika siasa lolote laweza kutokea wakati wowote kwa interest fulani.Wanaosema ni propaganda,ili iweje?Halafu mmesahau kuwa akina Dr.SLAA enzi zile walikuwa CCM?
 
Iwe uongo ama ukweli na lisemwalo lipo kama halipo laja, cdm sasa mmeachwa mbali sana na ccm kwa umakini , ninyi si chama mbadala tena,
 
Yaani Dr. Slaa angekubali tu, hivi kwanini haelewi kuwa akichukua nchi, Dr. Slaa anaweza kuwa Waziri wa Fedha, Mbowe Waziri Mkuu kisha Lowassa Rais...

Nchii ya Tanzania ingebadilika mwaka mmoja tu, kuwa kama Ulaya...

Dr. Slaa ana nn lakini..!?

Hahahaa ndoto za alinacha hizo.
 
Unachekesha sana mkuu,lowassa hawezi kupokelewa chadema,hivyo ndivyo ninavyoamini mimi,ingawa ktk siasa lolote laweza kutokea cuz hakuna permanent friend or permanent enemy.

Mkuu najaribu kukuelewa nashindwa ,umesema " hawezi kupokelewa chadema" halafu Tena ukapigilia msumari kwamba lolote laweza kutokea kwenye siasa
 
It's unthinkable how he can now join the opposition after CCM gave him the finger.

The guy that they [the opposition] have spent years bashing for being one of the most corrupt senior government officials.

Hard to imagine but that's politics for you.

It indeed can make strange bedfellows.

But I'll believe it when I see it.

Hii itakuwa sawa na US kushirikiana na Iran kupigana na ISIS.
Enemy of your enemy is a friend.

I will give UKAWA a pass if they take this root.its easier to fight a divided CCM than a united one.

But risk being,if they fail,the consequences will be immense.

They can start by doing a PR of Lowassa repenting his corrupt activities while with CCM.and how he is a newborn corrupt free politician with a mission to undo CCM.but the has too long a list of baggage in form of his not so cean accomplices like Tibaijuka and Kingunge.

If I were Lowassa would pick the weakest party either in or outside Ukawa and join that one.with special agreement with UKAWA to spare no efforts attacking CCM.
 
Mimi ninaona baadhi ya watu hawaijui chadema hata viongozi wake hawawajui ndiyo maana wanaandika upuuzi bkm huu..
 
Mapengo 17;
Kweli maneno haya hayapitii njia ya kawaida. Naamini kuwa sasa weye kweli mapengo. Maccm mmerudi sasa Lumumba na vibatari vyenu mnatafuta njia ya kuinukisha CDM ili mpone Oktoa 25?? Poleni sana. CDM haipokei uozo wenuuuuuuu. Aende kule ACT alipo anzisha sisi tupo imara wala hatuyumbishwi kihivyo.
Bila hayo mauozooo yenu Ikulu tutaingia. Kama Lowasa anajiunga huku kama mtu mwingine sawa, karibu kwani sote tulitokea ccm ila si kama kiongozi. Tuliwaona wengine tena wana miwani mikubwa kuliko ya Lowasa. Mbona wametufedhehesha na kutuharibia sifa bungeni
 
They can start by doing a PR of Lowassa repenting his corrupt activities while with CCM.and how he is a newborn corrupt free politician with a mission to undo CCM.

But why in the hell would he do that? Repenting is akin to admission of guilt. Is he that stupid? Why didn't he do that while he was in CCM [assuming he bolts out]?

And being that he has always been under a humongous cloud of corruption, he has no moral authority to attack CCM on the very same issue assuming they too have a lot of dirt on him.
 
mm saizi nitaamini akipewa hiyo nafasi lkn kumbuka mlivyomsifu mhe EL mkadai mafuriko hayqzuiwi na mkono lkn nn kimetokea; tena kalamu ya tsh 200-3000 imezuia mafuriko
 
cdm imejengwa kwa jasho , nguvu , damu na hela , wala haihitaji mtu mwenye tuhuma kuipeleka ikulu .
 
But why in the hell would he do that? Repenting is akin to admission of guilt. Is he that stupid? Why didn't he do that while he was in CCM [assuming he bolts out]?

And being that he has always been under a humongous cloud of corruption, he has no moral authority to attack CCM on the very same issue assuming they too have a lot of dirt on him.

I agree, he really did put himself in a NO man's land. Typical catch 22 situation.

He should have been smarter, seriously.
 
Kama ni uzushi we mapengo yako ni kupitiliza so vema kuzusha mambo usio na uhakika nayo jifunze kusema ukweli aipendezi kuwajengea watu hisia mbaya kwa viongozi wanao waheshimu.
 
mtake msitake hata siku moja upinzani huwezi kushika dola ya nchi hii bila kupata wanachama mashuhuri au viongozi kutoka CCM na waliokuwa na nafasi za juu serikalini. Hawa wanaijua fitina, wanajua nini cha kufanya kukabiliana na wizi wa kura ambao ndio kimekuwa kilio cha muda mrefu, uzoefu katika dola na mikakati ya kukiletea chama ushindi. mi nadhani lengo la wanamageuzi wengi ni kuiondoa CCM madarakani na hili haliwezi kufanikiwa bila nguvu kutoka nje.

Ni sawa na unapambana na adui ambaye ni wazi kabisa amekuzidi nguvu then ghafla anatokea mtu ambaye ana nafasi ya kukusaidia na ambaye aliyekuwa adui yako tangu enzi kwa hiyo asikusaidie kummaliza adui kisa nyie ni maadui. tuache hizo jamani, siasa ni zaidi ya utashi wa kawaida. kuiondoa CCM madarakani ni kazi ngumu kuliko pengine kumwondoa Lowassa au kiongozi yeyote baadae
 
Acha maneno yako hayo kwani ccm kupasuka ndio iwe Lowasa kwani hakuna watu safi zaidi ya mamvi a k a Mzee wa kukatwa anaeweza kutusaidia kuingoa ccm, hata kwa umoja wetu na kutambua lengo letu tunaweza kuwangoa ccm sio mpaka Hugo kikongwe.
 
Back
Top Bottom